4 Agosti, 2026

Shughuli za Uwanja wa ndege wa Cape Town zatatizika baada ya ndege ya Kenya Airways kupata hitilafu

Kutokana na hali hiyo, ndege zote zinazotarajiwa kuwasili katika uwanja huo zimeelekezwa kwenye viwanja vingine vya ndege.

5a78079c 1853 4097 afc7 e72965080a3d 1785869897030

4 Agosti, 2026

Rais Ruto wa Kenya awajumuisha rasmi wazee wa vijijini 106,000 katika mfumo wa utawala wa kitaifa

Katika hotuba yake kwa wazee 10,000 aliowapokea Ikulu siku ya Jumanne, Ruto alisema mpango huo unawaingiza rasmi katika muundo wa utawala wa serikali, huku ukitambua nafasi yao kama kiungo muhimu kati ya wananchi na serikali.

d1c29ce7 9c9c 4f36 993c cd3659b79cd8 1785851410157

4 Agosti, 2026

WHO yaomba msaada wa ziada kukabiliana na mlipuko wa Ebola nchini DRC

Mlipuko wa Ebola, ambao unakuwa ni wa 17 kutokea katika historia ya nchi hiyo, ulianza kuripotiwa Mei 15, baada ya kutokea vifo kadhaa katika eneo la Ituri.

77195c29 d7e6 43cf 8533 d6b24edf8dea 1785845967927

4 Agosti, 2026

Kenya yazindua bima ya lazima kwa watalii

Mpangilio huo, unahusisha gharama za matibabu ya walau Dola 20,000, Dola 25,000 kwa ajili ya uokoaji wa dharura, Dola 5,000 za kurudishwa nyumbani, Dola 1,000 kwa ajili ya huduma za afya ya akili na Dola 300 kwa ajili ya madawa.

f5ac6738 01b8 4e8b b928 b9a786d8c6aa 1785835058801

4 Agosti, 2026

14 wafariki katika maporomoko ya ardhi nchini Ethiopia

Maporomoko ya ardhi yalitokea wakati wa hafla ya kidini karibu na mlima, ambapo miamba mikubwa iling’oka na kuangukia waumini.

a68b7b23 b134 416d 8d30 28f025d91269 1785828950344

3 Agosti, 2026

Joto kali laua simba watatu nchini Japan

Uchunguzi wa awali, umebainisha kuwa, wanyama hao walikufa kwa kiu, hali iliyopelekea viungo vyao vya mwili kushindwa kufanya kazi.

5eec597c d2ae 42b5 9155 6049ac2d809f 1785764608301

3 Agosti, 2026

Dar kuwaleta pamoja wanahisa wa Afrika

Mkutano huo wa siku mbili unatarajiwa kuwakutanisha zaidi ya washiriki 1,000 wakiwemo wakuu wa nchi, mawaziri, wawekezaji, taasisi za fedha za maendeleo, viongozi wa sekta binafsi na wataalamu wa miundombinu kutoka Afrika na kwingineko.

255aad76 e517 4a53 9908 1bf9da5ef7f4 1785760106984

3 Agosti, 2026

Naibu Waziri Mkuu wa Somalia aukana uraia wa Kenya kufuatia mzozo katika uwanja wa ndege

Jibril Abdirashid Haji anasema uamuzi huo haukulenga kuipinga Kenya, bali unaakisi chaguo lake la kuhudumu kama raia wa Somalia pekee kufuatia mzozo kuhusu pasipoti yake ya Kenya.

f2f3f688 ce47 41cf 9acf 087248a59cb3 1785760990740

3 Agosti, 2026

Morocco yatangaza hali ya dharura mikoani huku moto ukisambaa misituni

Morocco kumekuwa na matukio 310 ya moto wa misituni kati ya mwanzo wa mwaka na Julai 20, kuteketeza hekta karibu 1,850 ikiwa ni sawa na ekari 4,571.

d14e0c59 2ff9 4d9b baeb 3618fa2b0743 1785748644579

2 Agosti, 2026

WHO yatoa wito wa mifumo imara ya afya ili kuimarisha unyonyeshaji watoto

Shirika la afya duniani linasema kwamba unyonyeshaji unasalia kuwa mojawapo ya njia bora zaidi za kulinda afya na ukuaji wa watoto wachanga huku pia ukitoa faida kubwa za kiafya kwa akina mama.

eca2cf14 3a92 4cfd b472 74b7cea597cc 1785680942052
Loading...