14 Julai, 2026

Kuunga mkono Uturuki kufuatia jaribio la mapinduzi ilikuwa muhimu : Waziri wa zamani wa Uingereza

Waziri wa zamani wa Uingereza, Sir Alan Duncan, amesema ziara yake ya Uturuki mwaka 2016, baada ya jaribio la mapinduzi lililofeli, ilikuwa na lengo la kuonesha mshikamano na serikali halali iliyochaguliwa na taasisi za kidemokrasia za nchi hiyo.

aeaac4e0 2422 4351 a4bc 1aabdaee6fc9 1784040314506

13 Julai, 2026

Uturuki na Misri zatia saini makubaliano ya kuweka msingi wa ushirikiano katika sekta ya ulinzi

Makubaliano hayo yanaweka mfumo wa ushirikiano mpya kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya ulinzi, amesema Katibu Mkuu wa Viwanda vya Ulinzi, Görgün.

2acd3efa bd25 4e7b 9393 fc8f414c3e3f 1783966754248

11 Julai, 2026

Uturuki inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 31 ya mauaji ya halaiki ya Srebrenica

Duran anawaenzi zaidi ya waathiriwa 8,000 wa Kibosnia, akisisitiza tena ahadi ya Uturuki ya kuwaunga mkono wanaokandamizwa kote duniani.

316f1569 47ef 4f76 98fa 5edfaefbfebd 1776339954037

7 Julai, 2026

Usalama wa Ulaya hauwezi kufungiwa ndani ya EU, asema Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan

Fidan anasema Uturuki ina jukumu muhimu katika usalama wa Ulaya na anahimiza ushirikiano mpana zaidi wa ulinzi wa NATO unaovuka mipaka ya Umoja wa Ulaya.

234dd10c5c3657891efa13b1c57f22e9f98af44d0709e5afb2b1b6f2e0bbc3b9

7 Julai, 2026

Ulaya itatumia mkutano wa NATO mjini Ankara kumwonyesha Trump uthabiti wake katika ulinzi

Ujerumani inashirikiana na washirika wa NATO wa Ulaya na washirika wao kuimarisha uwezo wa kijeshi, kupanua ushirikiano kati ya sekta ya ulinzi na kuharakisha maendeleo ya silaha za hali ya juu, naibu waziri wa ulinzi Nils Schmid anasema.

88958ade3ecd05888bb83b184a2febcd8db2e4190ce94ee065a5fc93cfc0941a

4 Julai, 2026

Rais wa Uturuki Erdogan amempokea Waziri Mkuu wa Pakistan Sharif mjini Istanbul

Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Uturuki na Pakistan unatarajiwa kukutana kufuatia mazungumzo ya pande mbili.

844b0ab90bd700b0074fb810abfdaa10a5b2d13ecbe1da1ac7c8114813bdbca3

3 Julai, 2026

Erdogan na Meloni wajadili kuimarisha ushirikiano wa ulinzi kabla ya mkutano wa NATO jijini Ankara

Rais wa Uturuki amesema nchi yake inalenga kuimarisha ushirikiano na Italia, hususan katika sekta ya ulinzi, kabla ya mkutano wa viongozi wa NATO utakaofanyika nchini jijini Ankara, Uturuki.

bd70625e8796d01bc5e460d894564fed82b1fd37eb18d79e986ed1cbc419a1c0

30 Juni, 2026

Rais Erdogan aishutumu Israel kwa tuhuma za uongo dhidi ya Uturuki

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema historia ya Uturuki inajumuisha sifa ya kuwapa hifadhi watu waliokimbia mateso ya Wanazi.

e1ceabb39623bdb581e740284978bdd78972b76a3cc5a40909c9f1f17d5d44bf

29 Juni, 2026

Uturuki ni muhimu kwa NATO na usalama wa kikanda: Kallas wa EU

Mkuu wa sera ya mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya (EU), Kaja Kallas, ametoa wito wa kuimarishwa kwa umoja ndani ya NATO, ushirikiano wa karibu zaidi katika masuala ya ulinzi, na ushirikiano wa karibu na Uturuki kabla ya mkutano ujao wa muungano huo.

28ae84cd0687fb3f644372902b2f9c3ca55a489263d4a907eae80d5b4833a172

28 Juni, 2026

Uturuki inahimiza hatua madhubuti dhidi ya wahusika wa nje wanaounga mkono RSF nchini Sudan

Balozi wa Uturuki mjini Khartoum Fatih Yildiz anasema mashambulizi ya hivi karibuni ya RSF huko El-Obeid ni ya kutisha hhuku akiangazia ujenzi mpya, fursa za uwekezaji nchini Sudan.

dceed0f607da02dd88a19fc71885e58a17d5eeb72357bd2c547e59c5ef230181
Loading...