Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani

Magdalena Shauri, Mtanzania ambaye hawezi kuzuilika, bila shaka ni jina la kufuatilia kwa karibu.
6 Septemba, 2026
Jepchirchir anaongoza ushindi wa 1-2 kwa Kenya jijini Sydney katika marathon ya wanawake

Muda wake wa ushindi ulikuwa sekunde tisa tu nyuma ya rekodi ya njia ya Sydney ya saa 2:18:22, iliyowekwa na Sifan Hassan mwaka jana.
30 Agosti, 2026
Gobena avunja rekodi ya Sydney Marathon huku Ethiopia ikitawala mbio za wanaume

Ramakongoana wa Lesotho ashtukiza kwa kunyakua nafasi ya tatu kutoka kwa Alphonse Simbu wa Tanzania aliyeishia nafasi ya nne.
30 Agosti, 2026
Kocha wa Korea Kusini ahojiwa bungeni baada ya matokeo mabovu Kombe la Dunia

Hong Myung-bo aliomba radhi kwa kushindwa kwa Korea Kusini kufuzu hatua ya timu 32 bora katika Kombe la Dunia lililofanyika Mexico, Marekani na Canada.
30 Julai, 2026

Cucurella achora tattoo ya kocha wa Hispania baada ya kushinda Kombe la Dunia

Infantino apendekeza kuongeza idadi ya timu katika Kombe la Dunia la FIFA la wanaume hadi 64

Ufaransa yapenya kwa tabu dhidi ya Paraguay kutinga robo fainali ya Kombe la Dunia.

DRC yaaga Kombe la Dunia baada ya kufungwa na England

Tunisia yamteua kocha Herve Renard baada ya kipigo cha Sweden
1 Juni, 2026
Hatimaye timu ya soka ya Afrika Kusini yapata kibali cha kusafiri na kushiriki Kombe la Dunia
Kuchelewa kwa utoaji wa visa kulizua wasiwasi kuhusu maandalizi ya timu hiyo kwa mashindano yatakayofanyika nchini Marekani, Mexico na Canada.

31 Mei, 2026
Timu ya Afrika Kusini katika Kombe la Dunia inakabiliwa na ugumu wa visa na ‘kufedheheshwa’
Afrika Kusini itacheza mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji wenza Mexico huko Mexico City mnamo Juni 11, na wanaonekana kwenye fainali za kimataifa kwa mara ya kwanza tangu walipandaa kombe hilo mnamo 2010.

22 Mei, 2026
Pep Guardiola atangaza kuondoka Manchester City baada ya miaka 10 ya mafanikio
Guardiola ameeleza kuwa uamuzi wake haukutokana na mgogoro wowote, bali ni wakati wake wa kuondoka

20 Mei, 2026
Marekani yalegeza masharti ya Ebola kwa timu ya DRC katika Kombe la Dunia
Marekani imesema timu ya DRC tayari imekuwa ikipata mafunzo Ulaya kwa hiyo marufuku ya kuingia nchini humo haiwahusu kwa namna yoyote.

14 Mei, 2026
Hakuna visa za Marekani zilizotolewa kwa timu ya Iran kushiriki Kombe la Dunia la 2026
Mkuu wa shirikisho la soka la Iran amesema kuwa hadi sasa hakuna visa zilizotolewa kwa timu ya taifa kushiriki katika Kombe la Dunia la 2026 nchini Marekani.

4 Mei, 2026
Mashabiki Wamiminika Kumtakia Ferguson Nafuu Huku Dunia ya Soka Ikimuombea
Salamu za pole na dua zatanda mitandaoni baada ya Ferguson kulazwa hospitalini.

1 Mei, 2026
Mzozo wa Bei za Tiketi za Kombe la Dunia Waibua Kesi ya Umoja wa Ulaya Dhidi ya FIFA
Mashirika ya watumiaji yachukua hatua za kisheria yakitaka mfumo wa FIFA ubadilishwe.

30 Aprili, 2026
Rais Ruto Amtunuku Sabastian Sawe Baada ya Rekodi ya Kihistoria
Bingwa wa marathon azawadiwa gari la kifahari na fedha baada ya kuipeperusha Kenya kimataifa.

30 Aprili, 2026
Ulaghai wa Michezo Mikubwa Wahusishwa Pia na Biashara Haramu ya Binadamu
Wataalamu waonya kuwa matukio makubwa ya michezo huongeza pia uhalifu wa usafirishaji haramu wa binadamu.

30 Aprili, 2026
Atletico na Arsenal Wapigana Bila Mshindi Katika Mechi ya Jana.
Mechi ya jana kati ya Atletico Madrid na Arsenal imeisha kwa sare, huku kila timu ikipata bao moja.



