Mkuu wa Ujasusi wa Ecuador, mkewe miongoni mwa watu saba waliofariki katika ajali ya helikopta Kenya

Mkuu wa ujasusi wa Ecuador Michele Sensi-Contugi na mkewe, Stephany Hollihan Vasconez, ni miongoni mwa watu saba waliofariki katika ajali ya helikopta nchini Kenya siku ya Jumatano, serikali ya Ecuador ilitangaza.
19 Agosti, 2026
Aliyeshindwa uchaguzi wa urais Zambia Brian Mundubile kuelekea mahakamani

Kiongozi wa upinzani nchini Zambia Brian Mundubile amesema siku ya Jumatano kuwa anaelekea mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyotangazwa wiki hii, akidai kuwa yamechakachuliwa.
19 Agosti, 2026
Watalii sita ni miongoni mwa saba waliofariki katika ajali ya helikopta nchini Kenya

Watu saba, ikiwemo watalii sita na rubani, wamefariki Jumatano wakati helikopta ilipopata ajali eneo la Mlima Ololokwe kaskazini mwa Kenya.
19 Agosti, 2026
Takriban watu 24 wameuawa baada ya watu wenye silaha kushambulia Jimbo la Plateau Nigeria

Washambuliaji walichoma moto nyumba 38 katika jamii ya Bin-Per, Kaskazini ya kati mwa Nigeria.
19 Agosti, 2026

Tanzania yatoa tahadhari ya mvua za El Nino

Jaji wa Marekani aruhusu serikali kufuta hadhi ya kinga kwa raia wa Ethiopia

Zaidi ya watu 5,000 walioondolewa katika makazi yao wawasili mji mkuu wa jimbo la Blue Nile

Nigeria yachunguza mauaji yaliyosababisha vifo vya watu wasiopungua 25 katika jimbo la Plateau

Mlipuko wa Ebola nchini Congo unaweza kudhibitiwa ndani ya miezi mitatu: WHO
18 Agosti, 2026
Hichilema ashinda Uchaguzi wa Zambia
Ushindi huo umemuwezesha Hichilema kuvuka kizingiti cha kikatiba cha kupata zaidi ya asilimia 50.

17 Agosti, 2026
Bunge la Senegal lapitisha sheria inayomtaka rais kutangaza mali zake anapochaguliwa na anapoondoka
Bunge la Senegal limepitisha sheria inayomtaka rais, spika, na waziri mkuu kutangaza mali zao wanapoingia kwenye uongozi na wakati wanapoondoka madarakani.

17 Agosti, 2026
Hatma ya Tundu Lissu kujulikana Agosti 21
Lissu anakabiliwa na shtaka moja la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, linalohusishwa na maneno aliyodaiwa kuyatamka kuhusu kusudio la kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

17 Agosti, 2026
Mkosoaji wa serikali ya kijeshi ya Mali atupwa jela miaka 7
Toka iingie madarakani, serikali ya kijeshi ya nchi hiyo, imethibiti kwa kiasi kikubwa, uhuru wa kutoa maoni, ikiwemo na kufuta utaratibu wa vyama vya kisiasa.

17 Agosti, 2026
Rais Hakainde Hichilema aongoza matokeo ya awali ya uchaguzi wa Zambia
Hata hivyo, ushindi wa Hichilema umepokelewa tofauti na waangalizi wa kimataifa, wakisema mchakato huo haukuwa wa haki.

16 Agosti, 2026
Mamlaka za Marekani zinasitisha ulinzi dhidi ya kufukuzwa kwa Wasomali na raia wa Sudan Kusini
Jaji wa mahakama ya kitaifa amefungua njia kwa utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump kuondoa kinga ya kisheria dhidi ya kufukuzwa nchini kwa karibu Wasomali 1,100.

16 Agosti, 2026
Polisi wa Morocco wazuia wimbi jipya la wahamiaji kuelekea Ceuta ya Hispania
Mamlaka zinapeleka maafisa wa ziada wa usalama na ndege zisizo na rubani kufuatia wito kwenye mitandao ya kijamii wa kuvuka kwa wingi kuingia Ceuta na Melilla.

16 Agosti, 2026
Mkuu wa jeshi la Sudan atangaza Khartoum kuwa salama, asema jeshi ni mali ya Wasudan wote.
Abdel Fattah al-Burhan anawahimiza Wasudan wote kurejea nchini.

15 Agosti, 2026
Mtu mmoja hufariki dunia kila baada ya dakika 30 kutokana na Ebola nchini DRC: UN
Afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya kibinadamu anasema “Ebola inashindikana” nchini DRC na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi za kimataifa.

15 Agosti, 2026
Tanzania yaingia mkataba mpya wa kufadhili matibabu ya moyo kwa watoto zaidi ya 300
Ushirikiano huo, chini ya Taasisi ya Jakaya Kikwete (JKCI), utahusisha huduma mbalimbali maalum za moyo ikiwemo upasuaji, taratibu za kuziba matundu au kasoro za moyo



