3 Septemba, 2026

Eto’o amuunga mkono Infantino, kwa kusaidia kukuza soka Afrika

Infantino amesema atawania tena nafasi ya urais wa FIFA katika Mkutano wa FIFA utakaofanyika Machi 18, 2027.

3cafc373 6723 45cb 936e 79530ab4006a 1788418535075

2 Septemba, 2026

Ajali ya basi Misri yasababisha vifo vya watu 16 katika eneo la pwani maarufu kwa utalii

Mamlaka zinasema kuwa waliojeruhiwa walikuwa wanatibiwa, lakini hawakusema kuhusu chanzo cha ajali.

aec0df7f cf49 444f af4f 1b7cd80cf78c 1788377458410

2 Septemba, 2026

Maelfu wajitokeza kuunga mkono jeshi la Niger baada ya uasi kutibuliwa

Maandamano hayo yalijumuisha maelfu ya raia wa Niger, ikiwemo mawaziri wa serikali.

203fadaf 809d 40da a888 d6e0b430f8aa 1788372932260

2 Septemba, 2026

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika alaani jaribio la uasi lililozimwa nchini Niger

Machafuko hayo yalisababisha vifo vya watu watano, kulingana na ripoti za vyombo vya habari.

43b84e73 e6e1 47e9 bb99 281c5baf91a1 1788335644449

1 Septemba, 2026

Guinea-Bissau yaidhinisha katiba mpya inayompa rais mamlaka zaidi

Katiba hiyo itapunguza idadi ya wabunge hadi 65 kutoka 102.

ba8adf13 9d7a 4d5b 90d7 8aece8d5c9b2 1788287533183

1 Septemba, 2026

Sudan yapeleka vikosi jimbo la Blue Nile huku mapigano na RSF yakiongezeka

Jimbo la Blue Nile limekuwa na mapigano katika kipindi cha siku mbili zilizopita baada ya mashambulizi ya RSF katika maeneo kadhaa kwenye jimbo hilo.

ff685feb 7e4e 417c b7b3 c14e983b026e 1788276003803

1 Septemba, 2026

Kenya: Makubaliano na Pfizer kushusha bei ya dawa za saratani

Rais William Ruto anasema kuwa baadhi ya dawa ambazo hapo awali ziligharimu hadi shilingi milioni moja za Kenya kwa kila mzunguko wa matibabu, sasa zitagharimu chini ya shilingi 50,000.

9b214162 2c1f 41cf 8657 eb7c54f3f9b4 1788261361005

1 Septemba, 2026

Mkosoaji wa serikali ya DRC akamatwa Tanzania

Mamlaka za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimesema kukamatwa kwa Denise Dusauchoy ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma mbalimbali za uhalifu, na kwamba hatua hiyo haimaanishi kuwa amepatikana na hatia.

cea8afd7 1e37 47cf 9e99 d8c1e75b82d2 1788252946156

1 Septemba, 2026

Duane “Keffe D” Davis apatikana na hatia ya mauaji ya Tupac Shakur

Uamuzi huo umehitimisha kesi iliyodumu kwa takribani miongo mitatu tangu Tupac kuuawa mwaka 1996.

1e471d51 6d7b 4e76 9c71 1de689d4657e 1788248507691

31 Agosti, 2026

Familia za waathirika wa ajali ya Ethiopian Airlines kulipwa fidia ya Dola milioni 87.3

Ndege hiyo, aina ya Boeing 737 MAX, iliyokuwa ikieleka Nairobi, Kenya kutoka Addis Ababa nchini Ethiopia, ilipata ajali Machi 10, 2019.

05e6b212 80f9 4e24 a00f 37f30570097f 1788206195486
Loading...