Ulimwengu

Trump apuuzia hali za afya za wanajeshi wa Marekani wanaopigana na Iran
Vyombo vya habari vya Marekani, wakiwemo wataalamu wa masuala ya kivita, wamewanukuu ndugu za wanajeshi hao, wakisema kuwa hali za afya za wapiganaji hao zinazidi kudhoofika.
Kulingana na Idara ya taifa ya majanga ya nchini humo (UNGRD), hadi kufikia sasa, watu 3,975 wamejeruhiwa na wengine 379 hawajulikani walipo.
Uokoaji huo, umefanyika wakati wa eneo la monasteri hiyo, lilipokumbwa na moto nyika unaoendelea maeneo tofauti ya nchi hiyo.
Hapo awali, jarida hilo lilidai kuwa, Rais Trump alihamishwa kwenye ndege nyingine badala ya Air Force One, baada ya kuwepo na hofu ya usalama kwenye ndege mpya ya Boeing 747-8 iliyozawadiwa Marekani na Qatar.
Afrika

Zambia yasitisha zoezi la kuhesabu kura baada ya vurugu
Rais Hichilema katika ujumbe wake kupitia ukurasa wa X amewaomba wananchi “kuwa wavumilivu, na wazalendo.
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mlipuko huu unaenea kwa kasi zaidi kuliko milipuko yote ya Ebola iliyowahi kutokea, na tayari unachukuliwa kuwa mkubwa zaidi katika historia ya taifa hilo la Afrika ya Kati.
Idara ya kukabiliana na Majanga ya Zimbabwe (CPU) siku ya Jumatano ilisema kuwa kivuko hicho kilikuwa na abiria wasiopungua 114.
Mashambulio ya hivi karibuni ya ndege zisizo na rubani za RSF yamelenga maeneo ya kijeshi na miundombinu muhimu katika miji inayodhibitiwa na jeshi, mbali na viwanja vya mapigano katika maeneo kadhaa nchini Sudan.
Michezo
















