11 Agosti, 2026

Wachimba migodi haramu wasiopungua 14 wauawa katika mgodi Afrika Kusini

Hakukuwa na taarifa kamili kuhusu wachimba migodi hao, ikiwemo uraia wao, huku maafisa wakielekea eneo la tukio.

ec024d6a e6b8 48bf 8e31 f0c8548a6d1d 1786441328724

10 Agosti, 2026

Umoja wa Mataifa yaonya ukosefu wa usalama umewaondoa watu zaidi ya 5000 katika makazi yao Darfur

Wengi walioondolewa katika makazi yao ni nyumba zilizoko upande wa pili wa mpakani nchini Chad, kulingana na Shirika la Kimataifa kuhusu Uhamiaji (IOM).

1e4da075 f00f 43e7 ade5 f60b5c14fd46 1786355708838

10 Agosti, 2026

Watu 11 wauawa katika matukio tofauti ya ufyatuaji risasi Cape Town, Afrika Kusini

Polisi waanzisha uchunguzi kufuatia mashambulizi yaliyotokea katika viton ya Khayelitsha, Langa na Gugulethu, ambapo watu wengine wawili walijeruhiwa.

61478d4c a6a6 4b32 bfee 70163487f358 1786348857558

9 Agosti, 2026

Siku ya Kimataifa ya Watu wa Asili: Ardhi, Utambulisho na mapambano ya kuhifadhi utamaduni

Umoja wa Mataifa unasema Watu wa Asili wanaunda zaidi ya asilimia sita ya idadi ya watu duniani na ni walinzi wa urithi wa kitamaduni na mifumo ikolojia muhimu.

e8fe6881 7786 432b 8080 1a0bebc032e2 1786280192337

8 Agosti, 2026

Jimbo la Kano Nigeria laandaa harusi ya pamoja kwa wanandoa 1,500

Gavana wa Kano alielezea mpango huo kama hatua ya kijamii inayolenga kuimarisha familia, kurejesha matumaini na kukuza maadili mema.

609e7563 fb1b 40d4 9ee8 95bec950abca 1786194683239

8 Agosti, 2026

Kizza Besigye: Kiongozi wa upinzani nchini Uganda ‘anaumwa vibaya’ arudishwa gerezani

Mke wa Kizza Besigye anasema kiongozi huyo wa upinzani alirudishwa katika gereza la Luzira jijini Kampala kinyume na ushauri wa madaktari.

4f313b18 83fc 481f b9c6 99579657081b 1785393003602

8 Agosti, 2026

Tanzania na Uganda zakubaliana kujenga kituo cha kikanda cha nishati jijini Tanga

Kituo hicho kinachopendekezwa kinatarajiwa kuhusisha miundombinu ya kuhifadhi na kusafisha mafuta, biashara na usambazaji wa mafuta, pamoja na mabomba na vifaa vingine vya mafuta na gesi.

5a4e0b95 0cc5 4861 80d4 19f37950c2f7 1786177101684

8 Agosti, 2026

Rais wa Tanzania Samia atangaza uchunguzi mpya kuhusu machafuko ya baada ya uchaguzi

Rais Samia Suluhu Hassan alisema tume hiyo mpya imepewa muda wa awali wa miezi mitano kukamilisha kazi yake na kuwasilisha ripoti yake.

aa7d16b7 13b7 4f5d 96ea 608e44c2cd6f 1786129799588

7 Agosti, 2026

Rais Samia wa Tanzania atoa onyo dhidi ya uharibifu wa mali za umma

Rais Samia amesema serikali inatumia fedha nyingi kujenga miundombinu.

7538699f 2452 4384 8121 62b473a3bb63 1786129454069

7 Agosti, 2026

Tanzania kukutanisha wadau watakaojadili changamoto za Mto Nile

Jukwaa hilo litawakutanisha serikali, watunga sera, watafiti, sekta binafsi, mashirika ya kiraia na washirika wa maendeleo kujadili usimamizi wa pamoja wa maji, uhifadhi wa mazingira na maendeleo endelevu.

62d4c4b5 19c3 4456 9218 fde2da8818bb 1786107128869
Loading...