TikTok kukata kodi kwenye mapato ya waandaaji maudhui Kenya

Taarifa iliyotumwa na TikTok inawataka waandaaji maudhui kujaza taarifa binafsi katika fomu, pamoja na taarifa za makazi.
17 Septemba, 2026
Mkuu wa polisi Kenya apatikana na hatia ya kudharau mahakama kufuatia maandamano ya Gen Z

Jaji ameagiza Kanja afike katika Mahakama Kuu Septemba 22, 2026.
17 Septemba, 2026
Afrika Kusini yawasaka wauaji wa mtangazaji wa michezo Owen Ndlovu

Ndlovu alikuwa maarufu kwa kazi zake za utangazaji wa michezo na kutetetea haki za wanamuziki.
17 Septemba, 2026
Ajali ya mgodi wa dhahabu Sudan yasababisha vifo vya takriban watu 60

Mgodi wa dhahabu uliporomoka kusini mwa Sudan na kuua takriban wachimbaji wadogo 60, kulingana na maelezo ya manusura wawili kwa shirika la habari la AFP siku ya Jumatano, huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo.
16 Septemba, 2026

Mvutano wa kidiplomasia wa Marekani na Afrika Kusini waibuka tena kutokana na vikwazo vya viza

Kaka mkubwa wa mfame mpya wa Tooro, afariki

Bunge la Libya laidhinisha kwa pamoja mpango wa uchaguzi mkuu

Jeshi la Sudan laangusha ‘droni za adui’ ambazo hazijatambuliwa jimbo la Kassala

Rais wa Cape Verde kugombea kwa muhula wa pili
14 Septemba, 2026
Dawa za kulevya zenye picha ya Gaddafi zakamatwa Libya
Kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa Januari, Libya imekuwa kitovu cha usafirishaji wa dawa za kulevya za kutengenezwa viwandani na aina nyinyingine ya mihadarati.

13 Septemba, 2026
Afisa wa zamani wa ujasusi wa kijeshi wa Uganda arejeshwa Marekani kukabiliwa na mashtaka ya magendo
Aliyekuwa mtu wa karibu wa mkuu wa jeshi la Uganda amekabidhiwa kwa Marekani kwa madai ya kupanga kutoa silaha kwa magenge ya dawa za kulevya ya Mexico.

13 Septemba, 2026
Mlipuko wa ugonjwa wa kimeta waua viboko 46 na tembo wanane nchini Zambia
Watu 12 wameambukizwa pia baada y akula nyama ya mizoga iliyoambukizwa vimelea vya kimeta (Anthrax)

13 Septemba, 2026
Mwenge wa Olimpiki wawasili Senegal kwa ajili ya Michezo ya kwanza ya Olimpiki barani Afrika
Mwenge wa Olimpiki wawasili Senegal kwa ajili ya tukio la kwanza la Olimpiki kufanyika barani Afrika.

13 Septemba, 2026
Putin anaunga mkono juhudi za Afrika za kutaka mageuzi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Rais wa Urusi pia anatoa wito wa kufanyiwa marekebisho kwa IMF, Benki ya Dunia na WTO ili kuendana na hali halisi ya uchumi wa dunia inayobadilika.

12 Septemba, 2026
Niger yamteua mkuu mpya wa jeshi baada ya jaribio la uasi lililozimwa
Brigedia Jenerali Mamane Sani Kiaou ameteuliwa kuwa mkuu mpya wa jeshi, lakini hakuna maelezo yaliyotolewa kuhusu mabadiliko hayo.

12 Septemba, 2026
Mfalme Oyo Nyimba kuzikwa leo kwa mujibu wa mila na desturi
Viongozi wa ukoo wa kifalme wamemchagua binamu yake Oyo, Edward Rukidi Kijanangoma, kuwa mfalme mpya.

12 Septemba, 2026
Putin na Ramaphosa wajadili uhusiano kati ya Urusi na Afrika Kusini katika mkutano wa BRICS
Rais Cyril Ramaphosa alimshukuru Rais wa Urusi Vladimir Putin kwa kuunga mkono uenyekiti wa Afrika Kusini katika kundi la G20 na kusema kuwa biashara ya nchi hizo mbili inaweza kupanuliwa.

12 Septemba, 2026
Rais wa Zimbabwe Mnangagwa atangaza siku yake ya kuzaliwa kuwa sikukuu ya kitaifa
Siku hiyo ya mapumziko itajulikana kama Siku ya Munhumutapa kwa ajili ya kuadhimisha himaya ya Mutapa, ufalme ulienea katika maeneo ya nchi za sasa za Zimbabwe na Msumbiji.

11 Septemba, 2026
Bunge la Nigeria lasitisha safari za wajumbe wake Afrika Kusini kufuatia vurugu dhidi ya wahamiaji
Baraza linasema kuwa marufuku hiyo inahusisha mikutano na shughuli rasmi zinazofanyika kwa njia ya mtandao.



