Katambi: Tanzania ipo salama kuandaa AFCON 2027

Hakikisho hilo linakuja wakati ambapo kuna wasiwasi wa hali ya utulivu wa kisiasa wakati wa mashandano hayo hasa kutokana na msuguano uliopo kati ya serikali na chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2025.
29 Julai, 2026
Uingereza kuanza tena mazoezi ya kijeshi Kenya baada ya kucheleweshwa kwa hofu ya haki za binadamu

Kenya na Uingereza siku ya Jumanne walikubaliana kuanza tena mazoezi katika taifa hilo la Afrika Mashariki baada ya ucheleweshwaji wa kutia saini makubaliano mapya ya ushirikiano wa kijeshi.
28 Julai, 2026
Kiongozi wa Sudan Burhan atembelea miji ya kimkakati iliodhibitiwa tena kutoka kwa RSF

Jeshi limechukua udhibiti wa miji ya Bara, Jabrat al-Sheikh na Umm Sayala ambayo iko katika maeneo ya kimkakati yanayounganisha kanda ya Darfur Magharibi.
28 Julai, 2026
Waholanzi wanne waliopata ajali Ziwa Nyasa wapatikana hai baada ya saa 27

Raia hao, ni kati ya abiria saba waliopotea baada ya dhoruba ya mawimbi iliyokumba boti yao, ikiwa Ziwa Nyasa, na kuja kupatikana hai baada ya saa 27.
28 Julai, 2026

Nigeria yaitaka Afrika Kusini kuchukua hatua zaidi dhidi ya vurugu zinazowalenga wahamiaji

Kipindupindu chaua 170 nchini Sudan

Chad yatangaza mpango wa kujiondoa ICC, yasema mahakama hiyo inalenga zaidi nchi za Afrika

Awuche wa Ghana, anayeaminika kuwa mtu mrefu zaidi nchini humo, afariki dunia

Wananchi wa Libya wanaandamana kwa sababu ya kuzorota kwa huduma za kijamii
27 Julai, 2026
Tanzania: Dhahabu yenye thamani ya Bilioni 1.2 yakamatwa jijini Dar es Salaam
Waziri wa Madini wa nchi hiyo, Anthony Mavunde amesema dhahabu hiyo ilikamatwa kupitia operesheni maalum ya vyombo vya dola na mamlaka za madini.

27 Julai, 2026
Trump aishukuru Morocco kwa kuipa barabara kuu jina lake
Rais wa Marekani amesema anatarajia kusafiri katika barabara hiyo mpya iliyojengwa ‘pengine hivi karibuni’

27 Julai, 2026
Tanzania: Nchimbi akagua uwanja wa AFCON 2027
Michuano ya AFCON 2027, maarufu kama 2027 Pamoja AFCON, yanaadaliwa kwa pamoja na Tanzania, Kenya, na Uganda, yakitarajiwa kuanza kuanzia Juni 19 hadi Julai 17, 2027.

26 Julai, 2026
Watumishi wa afya DRC wagoma huku maambukizi ya Ebola yakiongezeka
Takriban watumishi wa afya 100 wanasema kutolipwa marupurupu yao kunawakatisha tamaa.

26 Julai, 2026
Jeshi la Sudan lakomboa maeneo zaidi yaliyokuwa chini ya udhibiti wa RSF
Gavana wa Darfur amesema jeshi limeshika udhibiti wa mji na maeneo jirani baada ya operesheni ya kijeshi dhidi ya RSF.

25 Julai, 2026
Kutoka kwa Kaunda hadi Hichilema: Marais wa Zambia tangu uhuru
Zambia imekuwa na marais saba na kaimu rais mmoja, huku ikionekana kama moja ya nchi za Kusini mwa Afrika yenye ukomavu wa demokrasia.

25 Julai, 2026
Kauli ya Makamu wa Rais Tanzania kuhusu Katiba mpya ilivyoibua mjadala
Wadau mbalimbali, ikiwemo wanasiasa kutoka chama tawala CCM na upinzani, pamoja na viongozi wa dini baadhi yao wameibuka na kuikosoa kauli hiyo huku wengine wakiitilia shaka.

25 Julai, 2026
Uganda yaanza rasmi kampeni ya usafi wa kila mwezi
Wizara ya Uchukuzi nchini humo imeweka tangazo katika mitandao yake ya kijamii ikiwataka wananchi kushiriki ipasavyo katika kile ilichokiita Zoezi la Kitaifa la Usafi.

24 Julai, 2026
Mahakama ya Afrika Kusini yasitisha kwa muda mchakato wa kumng’oa madarakani Rais Ramaphosa
Ramaphosa, anatuhumiwa kutofichua kwa polisi na mamlaka ya kodi tukio la uvamizi na wizi wa mwaka 2020, ambapo Dola 580,000 za Marekani ziliibwa katika shamba lake la kifahari la Phala Phala.

24 Julai, 2026
Kiwanda cha Dangote chabadili maamuzi kuhusu uuzwaji mafuta kwa sarafu ya Dola
Julai 14 mwaka huu, kiwanda hicho nchini Nigeria kilianza kuuza bidhaa zake za mafuta kwa Dola za Marekani katika soko la ndani, jambo ambalo limesababisha mjadala mkubwa.



