Viwanja vya ndege vya Italia vyakumbwa na uhaba wa mafuta

Hali kama hiyo ilijitokeza Aprili 2026, ambako kulitokea ucheleweshaji wa mafuta ya ndege, hatua iliyoathiri zaidi uwanja wa ndege wa Bologna.

Newstimehub

Newstimehub

14 Julai, 2026

77b61375 2499 4391 9375 a320d6c3dfdc 1784036283937

Jumla ya viwanja vya ndege vinne kaskazini mwa Italia, viko kwenye hali ya tahadhari kufuatia uhaba mkubwa wa mafuta ya ndege uliotokana na ucheleweshwaji uliosababishwa na kampuni ya Air BP Italia.

Viwanja vilivyoathirika na kadhia hiyo ni pamoja na Bologna Marconi, Milan Linate, Marco Polo na Antonio Canova.

Hali kama hiyo ilijitokeza Aprili 2026, ambako kulitokea ucheleweshaji wa mafuta ya ndege, hatua iliyoathiri zaidi uwanja wa ndege wa Bologna.