Taiwan yaidhinisha Dola bilioni 25 kwa ajili ya ulinzi

Hata hivyo, wabunge wa upinzani, wanadai kuwa kiasi hicho kitatumika kuinunulia Marekani silaha.

Newstimehub

Newstimehub

8 Mei, 2026

9b3f2cedc34c944d5279debe31bb545c0a7bee51f3e15cfed5ae7f36459c4f13

Bunge la Taiwan limepitisha bajeti ya Dola bilioni 25 kwa ajili ya ulinzi.

Hata hivyo, wabunge wa upinzani, wanadai kuwa kiasi hicho kitatumika kuinunulia Marekani silaha.

Kwa muda mrefu sasa, watunga sheria hao nchini humo, wamekuwa wakitofautiana kuhusu kiasi cha fedha kinachopaswa kutumika kwa ajili ya masuala ya ulinzi, hususani dhidi ya uvamizi kutoka China.