Ulimwengu

Trump aapa kutangaza Mlango-Bahari wa Hormuz ‘eneo la Marekani’ Iran yatupilia mbali vitisho hivo
Rais wa Marekani Donald Trump anawahimiza Wamarekani kukubali bei ya juu ya mafuta, huku akiongeza kuwa hivi karibuni atatangaza Mlango-Bahari wa Hormuz kuwa eneo la Marekani. Iran inajibu kwa kusema haitishwi na vitisho vya Marekani.
Vyombo vya habari vya Marekani, wakiwemo wataalamu wa masuala ya kivita, wamewanukuu ndugu za wanajeshi hao, wakisema kuwa hali za afya za wapiganaji hao zinazidi kudhoofika.
Kulingana na Idara ya taifa ya majanga ya nchini humo (UNGRD), hadi kufikia sasa, watu 3,975 wamejeruhiwa na wengine 379 hawajulikani walipo.
Uokoaji huo, umefanyika wakati wa eneo la monasteri hiyo, lilipokumbwa na moto nyika unaoendelea maeneo tofauti ya nchi hiyo.
Afrika

Polisi wa Morocco wazuia wimbi jipya la wahamiaji kuelekea Ceuta ya Hispania
Mamlaka zinapeleka maafisa wa ziada wa usalama na ndege zisizo na rubani kufuatia wito kwenye mitandao ya kijamii wa kuvuka kwa wingi kuingia Ceuta na Melilla.
Abdel Fattah al-Burhan anawahimiza Wasudan wote kurejea nchini.
Afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya kibinadamu anasema “Ebola inashindikana” nchini DRC na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi za kimataifa.
Ushirikiano huo, chini ya Taasisi ya Jakaya Kikwete (JKCI), utahusisha huduma mbalimbali maalum za moyo ikiwemo upasuaji, taratibu za kuziba matundu au kasoro za moyo
Michezo

















