Ulimwengu

84b339ad 7e95 4cb3 8c8a aa1fbd3c40d5 1786781161128

Trump aapa kutangaza Mlango-Bahari wa Hormuz ‘eneo la Marekani’ Iran yatupilia mbali vitisho hivo

Rais wa Marekani Donald Trump anawahimiza Wamarekani kukubali bei ya juu ya mafuta, huku akiongeza kuwa hivi karibuni atatangaza Mlango-Bahari wa Hormuz kuwa eneo la Marekani. Iran inajibu kwa kusema haitishwi na vitisho vya Marekani.

Trump apuuzia hali za afya za wanajeshi wa Marekani wanaopigana na Iran

Vyombo vya habari vya Marekani, wakiwemo wataalamu wa masuala ya kivita, wamewanukuu ndugu za wanajeshi hao, wakisema kuwa hali za afya za wapiganaji hao zinazidi kudhoofika.

Colombia: Idadi ya waliokufa kwa tetemeko yafikia 285

Kulingana na Idara ya taifa ya majanga ya nchini humo (UNGRD), hadi kufikia sasa, watu 3,975 wamejeruhiwa na wengine 379 hawajulikani walipo.

Hispania yaokoa mabaki ya wafalme wa kale

Uokoaji huo, umefanyika wakati wa eneo la monasteri hiyo, lilipokumbwa na moto nyika unaoendelea maeneo tofauti ya nchi hiyo.

Afrika

9b1b0a82 9065 4e30 867c 0e531463f360 1786798937959

Mtu mmoja hufariki dunia kila baada ya dakika 30 kutokana na Ebola nchini DRC: UN

Afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya kibinadamu anasema “Ebola inashindikana” nchini DRC na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi za kimataifa.

Tanzania yaingia mkataba mpya wa kufadhili matibabu ya moyo kwa watoto zaidi ya 300

Ushirikiano huo, chini ya Taasisi ya Jakaya Kikwete (JKCI), utahusisha huduma mbalimbali maalum za moyo ikiwemo upasuaji, taratibu za kuziba matundu au kasoro za moyo

Seneta wa Kenya Boni Khalwale aomboleza kifo cha mkewe kutokana na mshtuko wa moyo

Gloria Sekeiyan Khalwale, mke wa Seneta wa Kakamega Boni Khalwale, alifariki dunia ghafla siku ya Jumamosi kutokana na kile ambacho familia imesema kilikuwa mshtuko wa moyo.

Morocco inaimarisha usalama huku kukiwa na wito wa watu wengi kuvuka mpaka kuingia Ceuta

Mamlaka zinaimarisha vituo vya ukaguzi katika miji ya kaskazini kabla ya jaribio lililopangwa la kuvuka mpaka mnamo tarehe 15 Agosti.