Ulimwengu

Upinzani Kenya wataka ICC ichunguze ghasia za kisiasa na uhalifu wa magenge
Martha Karua amesema ICC inapaswa kuangalia upya mashtaka yaliyowahi kuwasilishwa dhidi ya Rais Ruto na kutathmini iwapo kesi hiyo inapaswa kufunguliwa tena.
Chini ya sheria hiyo, wagonjwa watakuwa na haki ya kupewa dawa maalumu ambayo itaongeza kasi ya kifo kwa mgonjwa husika, ili kumuondolea mateso.
Qatar inaendelea kusisitiza mpango wa utekelezwaji kamili wa usitishwaji mapigano Gaza licha ya upinzani wa Israel, huku ikitoa wito wa kumaliza hali ya taharuki kote katika kanda na kuanzishwa tena kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, anasema Tehran ilipambana kwa masharti yake yenyewe na kuwalazimu wale waliotaka “isalimu amri bila masharti” kufanya mazungumzo, baada ya Donald Trump kuitaka Iran “kuinua bendera nyeupe.”
Afrika

Watu wasiopungua 40 wafariki katika ajali ya boti jimbo la Sokoto nchini Nigeria
Boti lilizama katika jimbo la kaskazini magharibi la Sokoto nchini Nigeria, miili 40 ya watoto imepatikana kufikia sasa, afisa mmoja wa eneo hilo alisema siku ya Alhamisi.
Chama cha Wafanyakazi wa Migodi nchini Ghana kinasema fedha zilizoko kwenye mfuko wa akiba na za kiinua mgongo ni za wafanyakazi zaidi ya 19,000.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumatano usiku, huduma za usafiri wa teksi za pamoja katika barabara inayounganisha Goma na Kirumba zitasimamishwa kwa mwezi mmoja kuanzia Jumamosi.
Hatua ya serikali ya kuifungia MwanaHalisi kwa miezi sita, inafuatia taarifa iliyochapishwa na Gazeti hilo yenye kichwa cha habari, “Nchimbi agoma kujiuzulu,” ikidaiwa kukiuka masharti ya Sheria ya Huduma za Habari Na. 12 ya mwaka 2016 na Kanuni zak
Michezo

















