28 Agosti, 2026

Traore awataka vijana wa Burkina Faso “waepuke njia za mkato” zinazopelekea usaliti

Kiongozi wa Burkina Faso aliwataka vijana hao kujenga na kudumisha sifa ya unyenyekevu na uzalendo, huku wakijifunza kuielewa dunia pamoja na siasa za kimataifa.

e8902f20 86d0 492e bdf0 32f2002123b7 1787929409550

28 Agosti, 2026

Rais wa DRC atoa masharti kwa M23 kujiunga na mjadala wa taifa

Rais Tshisekedi aliwahakikishia kuwa, “Hakuna atakayetengwa kutokana na maoni yake, ukosoaji, au mtazamo wake wa kisiasa,” lakini pia akaonya kuwa, “Hakuna mtu anaweza kupata nafasi kwenye mazungumzo wakati bado anapigana na serikali.

ad23a157 753f 4929 a33c 6562f82b12be 1787910714628

28 Agosti, 2026

Mfalme Oyo mwenye umri mdogo zaidi duniani 34 afariki dunia

Mfalme Oyo wa Ufalme wa Tooro wa Uganda aliugua saratani, na alikuwa anatibiwa nchini Marekani, taarifa zilisema

2c4912da d645 4cf8 83c4 f731d6a89aff 1787903878012

27 Agosti, 2026

Rais wa Shirikisho la Soka Nigera ajiuzulu kufuatia tuhuma za rushwa na matokeo mabovu

Ibrahim Musa Gusau amejiuzulu huku shinikizo likiongezeka dhidi ya Shirikisho la Soka la Nigeria kutokana na madai ya matumizi mabaya ya fedha na kushuka kwa kiwango cha soka la nchi hiyo kimataifa.

51902916 74bc 4dd2 95be c160add919fb 1787852503863 main 1

27 Agosti, 2026

Jeshi la Sudan linasema laangusha droni karibu na mpaka wa Ethiopia

Jeshi linasema droni hiyo iliangushwa kaskazini mwa Sarkam katika jimbo la Blue Nile nchini Sudan.

b1cdb779 06af 4d34 ab86 f5c71ffb3305 1787832409690

27 Agosti, 2026

WHO yathibitisha kumalizika kwa mlipuko wa Ebola nchini Uganda

WHO iliendelea kufuatilia hali nchini Uganda hadi wiki hii ili kuhakikisha kuwa hakuna athari yoyote ya maambukizi iliokuwa imeachwa bila ya kushughulikiwa.

0d9511ce e3e3 4377 88d0 1325b3a6c1f1 1787766654411

26 Agosti, 2026

Mtoto wa Rais Museveni Muhoozi Kainerugaba atangaza nia ya kugombea 2031

Muhoozi Kainerugaba anasema kuwa anatarajia kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa 2031, kulingana na ujumbe katika mtandao wa X.

35da99c2 9ac4 4921 85b3 76774bc40ccc 1787752877456

26 Agosti, 2026

China inataka raia wake kuondoka Eswatini kutokana na tatizo la usalama

Wizara ya mambo ya nje ya China imewata raia wa China na taasisi kuondoka nchini Eswatini au kwenda sehemu ambazo zina usalama kama vile Afrika Kusini.

47315d4f 20ca 4066 b634 8099c848505f 1787735518836

25 Agosti, 2026

Marekani yalaumiwa kwa kusema Ethiopia ‘ni ya pili kwa uchumi mkubwa Afrika’

Watumiaji wa mitandao ya kijamii wanasema kosa hilo linaonesha kuwa maafisa wa Marekani hawana ufahamu wa kutosha kuhusu bara hilo.

4dbf8aea 16a6 4b5f bb12 1b65ca59b7ac 1787662563457

25 Agosti, 2026

Shirika la Msalaba Mwekundu lalaani ‘mashambulizi’ dhidi ya wahudumu wa Ebola nchini DRC

Baadhi ya wahudumu wa kujitolea 12 wamejeruhiwa, ambulensi kuharibiwa na vifaa vya kuhudumia wagonjwa kuharibiwa katika matukio ya vurugu tangu mwezi Mei.

b98513cc b9d3 42ac a02d b870131d7b86 1787652363543
Loading...