Africa CDC yaripoti mlipuko mpya wa Ebola nchini DRC

Huu ni mlipuko wa 17 wa Ebola kutokea nchini DRC tangu 1976.
15 Mei, 2026
Serikali ya Kenya yapandisha tena bei ya mafuta

Serikali ya Kenya kupitia Mamlaka ya Kudhibiti Mafuta na Nishati (EPRA), imetangaza tena kupandisha bei ya mafuta kwa asilimia 23.5.
14 Mei, 2026
Tanzania kuendelea kuimarisha ushirikiano wa forodha kikanda – Kamishna Mkuu wa TRA

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda, amesema Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika masuala ya forodha ili kuongeza ufanisi wa biashara na kulinda uchumi wa nchi.
14 Mei, 2026
Tanzania kujenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa mkoani Mwanza

Akizungumza Bungeni jijini Dodoma Mei 13, 2026, Waziri Mkuu huyo amesema kuwa serikali ya nchi hiyo inatambua umuhimu wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza na imeendelea kufanya jitihada mbalimbali kuhakikisha unakuwa na uwezo wa kuhudumia ndege kubwa pamoja.
14 Mei, 2026

Al Hilal ya Sudan yaweka historia kwa kutwaa ubingwa Ligi Kuu ya Rwanda

Marekani yaondoa dhamana ya viza ya Dola 15,000 kwa mashabiki kutoka nchi tano za Afrika

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron azuru Ethiopia

Tanzania yaweka kipaumbele uwekezaji wa viwanda vya dawa

Tanzania: Puuzeni madai ya picha mjongeo kutoka Bunge la EU
13 Mei, 2026
Jeshi la Nigeria lasema hakuna ushahidi wa kuuawa kwa raia katika mashambulizi soko la Zamfara
Jeshi linasema mashambulizi ya angani yalizingatia sheria ya kimataifa ya haki za binadamu na kulenga “eneo mahsusi la mkutano” wa viongozi wa wapiganaji.

13 Mei, 2026
Ghana yawaondoa mamia ya raia wake Afrika Kusini kufuatia vurugu za chuki
Wizara ya mambo ya nje inasema Rais John Dramani Mahama ameidhinisha mpango huo wa kuwaondoa raia wake 300 kutoka Afrika Kusini.

13 Mei, 2026
Rais wa Senegal Faye ‘anashughulikia mwenyewe’ mazungumzo kuhusu deni na IMF
Rais Bassirou Diomaye Faye amekutana na mkuu wa IMF Kristalina Georgieva pembeni mwa kongamano la nchini Kenya, na wawili hao walijadili uwezekano wa kutatua tatizo la madeni ya Senegal.

12 Mei, 2026
Polisi nchini Kenya watumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaopinga Ufaransa
Waandamanaji waliobeba mabango ya kupinga sera za kibeberu walizuiwa kukaribia ukumbi wa Mkutano wa Africa Forward unaofanyika jijini Nairobi, Kenya.

12 Mei, 2026
Rais Museveni wa Uganda aanza rasmi muhula mpya
Rais Yoweri Museveni ambae ameingia madarakani mwaka 1986, huu utakuwa ni muhula wake wa saba kuliongoza taifa hilo.

12 Mei, 2026
Kamanda wa jeshi Sudan ajiondoa RSF na kujiunga na jeshi
Kujiondoa kwa Brigedia Ali Rizqallah, maarufu Savanah, ni wa pili tangu mwezi uliopita.

12 Mei, 2026
Katibu Mkuu UN asisitiza umuhimu wa mabadiliko ili Afrika ipate uwakilishi wa kudumu
Umoja wa Mataifa lazima ufanyiwe mabadiliko ili kuongeza uwakilishi wa Afrika, Katibu Mkuu Antonio Guterres alisema Jumatatu alipokuwa jijini Nairobi, nchini Kenya.

11 Mei, 2026
Wajerumani watatu na rubani wafariki dunia kufuatia ajali ya ndege Namibia
Rubani wa ndege ndogo pamoja na abiria watatu wa kutoka Ujerumani wamefariki dunia baada ya ndege yao kuanguka katika eneo maarufu la utalii la Sossusvlei nchini Namibia, kampuni ya kukodisha ndege ilisema Jumatatu.

11 Mei, 2026
Maandamano yenye vurugu dhidi ya wahamiaji hayaakisi maoni ya Afrika Kusini: Ramaphosa
Mfululizo wa maandamano dhidi ya wahamiaji katika wiki za hivi karibuni kote Afrika Kusini, pamoja na madai ya mashambulizi dhidi ya wageni, yamesababisha Nigeria na Ghana kueleza wasiwasi wao.

11 Mei, 2026
Bandari ya Lamu nchini Kenya yapokea meli kubwa zaidi kuwahi kutia nanga Afrika Mashariki na Kati
Habari za hivi punde, maoni, makala maalumu, uchambuzi wa kina na video kutoka TRT Afrika



