Hakuna anayetaka kupigwa picha na Netanyahu tena, anasema Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki anasema sera za Netanyahu, ambazo zimesababisha vifo na uharibifu katika eneo, zimeifanya Israel kutengwa kimataifa.
16 Januari, 2026
Mkataba wa ulinzi kati ya Uturuki, Pakistan na Saudi Arabia ‘unajadiliwa’

Waziri wa Pakistan Raza Hayat Harraj amesema kuwa “nchi zote tatu zinaendelea kujadiliana” kuhusu rasimu ya makubaliano, huku waziri mkuu wa mambo ya nje wa Uturuki, Hakan Fidan, akithibitisha kuwa mazungumzo hayo yamefanyika.
16 Januari, 2026
Uturuki yapinga vikali hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema matatizo ya kiuchumi ya Iran yanatokana na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya nchi hiyo, na kwamba Iran kutatua matatizo na “baadhi ya wadau” kuntanufaisha pia Uturuki.
15 Januari, 2026
Watalii wawili wa Uturuki wauawa katika shambulio la risasi Ethiopia

Shambulio la risasi lilitokea katika eneo la vijijini karibu na mji wa Tum, Kusini-Magharibi mwa Ethiopia, huku uchunguzi bado unaendelea, kulingana na balozi wa Uturuki nchini Ethiopia.
14 Januari, 2026

Uturuki na Somalia zasaini makubaliano ya ajira, kuimarisha ushirikiano wa nguvukazi

Uturuki yaonya dhidi ya uingiliaji wa nje nchini Iran, yatoa wito wa suluhu za ndani

Erdogan kwa Trump: Venezuela isiingizwe katika hali ya kutokuwa na usalama

Uturuki yapinga hatua ya Israel kuhusu Somaliland, yaahidi kuimarisha ushirikiano na Somalia

Ubalozi wa Uturuki unaomboleza kifo cha Mkuu wa Jeshi wa Libya
24 Desemba, 2025
Uturuki yatangaza kupatikana kwa kisanduku cheusi cha ndege iliyomuua Mkuu wa Jeshi wa Libya
Mchakato wa kuchunguza na kutathmini vifaa hivi umeanza, amesema Waziri wa Mambo ya Ndani, Ali Yerlikaya.

15 Desemba, 2025
Uturuki inataka kuongeza muda wa uwepo wake wa kijeshi nchini Libya
Uturuki imewasilisha hoja bungeni kutaka kuongezwa muda wa miezi 24 kwa wanajeshi wake Libya, ikitaja hali ya sintofahamu ya kisiasa inayoendelea, changamoto za kiusalama ambazo hazijatatuliwa na umuhimu wa kulinda amani na utulivu nchini humo.

15 Desemba, 2025
Uturuki imelaani shambulio dhidi ya kambi ya UN nchini Sudan lililoua walinda amani sita
Ankara inasisitiza kuunga mkono juhudi za kutafuta suluhu la amani kwa migogoro inayoendelea nchini Sudan.

24 Novemba, 2025
Viongozi wa Uturuki na Ethiopia wajadili uhusiano wa pande mbili, masuala ya kikanda kando ya G20
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, ambaye yuko Johannesburg, Afrika Kusini kwa mkutano wa G20, alikutana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kwa mazungumzo, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Uturuki ilisema Jumamosi.

17 Novemba, 2025
Shirika la YTB laorodhesha mafanikio ya Afrika mwaka 2024 katika kitabu chao
Shirika linalohudumia Waturuki wanaoishi Ughaibuni na Jamii Husika (YTB) limezindua kitabu chao cha Afrika 2024 ili kuonesha matukio muhimu yaliyotokea katika bara la Afrika.

10 Septemba, 2025
Uturuki yatoa rambirambi kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia shambulio la kigaidi
Watu kadhaa wauawa katika shambulio wakati wa mazishi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

6 Agosti, 2025
Aselsan yasaini mkataba wa mauzo ya nje wa dola bilioni 1.3 katika nusu ya kwanza ya mwaka
Kampuni ya ulinzi ya Uturuki imeripoti kufikia ukuaji wa mapato wa asilimia 11.3 hadi kufikia dola bilioni 1.32 katika kipindi cha Januari-Juni, huku matumizi ya utafiti na maendeleo (R&D) yakiongozeka kwa asilimia 42 kufikia dola milioni 572.

6 Agosti, 2025
Uhusiano kati ya Uturuki na Afrika unaimarika katika nyanja zote
Wakati bara la Afrika likiinuka kwenye nafasi ya kimkakati katika mfumo wa kimataifa kwa sababu ya idadi yake kubwa ya vijana na rasilimali nyingi, Uturuki inaendelea kuzidisha uhusiano wake na nchi za Afrika siku hadi siku.

4 Agosti, 2025
Rais wa Uturuki Erdogan ampongeza Starmer kwa msimamo wake wa dola ya Palestina
Katika mazungumzo yake na simu, Recep Tayyip Erdogan amesisitiza umuhimu wa kuchukua hatua za kuishinikiza Israel kusitisha mashambulizi na kulipa kipaumbele suluhu ya dola mbili.

4 Agosti, 2025
Mawaziri wa Uturuki na Misri wajadili juhudi za kukabiliana na njaa inayosababishwa na Israel, Gaza
Ankara pia imekutana na kulaani shambulio la hivi karibuni katika eneo la Msikiti wa Al Aqsa katika Jerusalemu Mashariki iliyokamatwa na waziri wa Israeli na wakazi haramu.


