Ulimwengu

e6025ac8 9546 4157 965f 31df5e2b8568 1786954994249

Trump afurahishwa na mkataba wa ulinzi wa Makkah uliosainiwa na Uturuki, Pakistan na Saudi Arabia

Rais wa Marekani amepongeza makubaliano hayo muhimu kama hatua kubwa ya kwanza kuelekea ushirikiano mkubwa zaidi wa kikanda na ulinzi imara wa pamoja katika Mashariki ya Kati, huku akiwapongeza viongozi wa nchi hizo tatu.

Watu 9 wafariki dunia wakimuabudu ‘mungu’ wa kihindu nchini India

Tukio hilo limetokea ndani ya hekalu la Ashok Dham liloloko katika wilaya ya Lakhisarai, wakati wakitoa ibada kwa mungu wa kihindu, maarufu kama Shiva.

Papa asukuma suluhisho la majimbo mawili katika wito wa kukomesha vurugu dhidi ya Wapalestina

Wito waa Papa Leo unaongeza shinikizo la kimataifa kuhusu jinsi Wapalestina wanavyotendewa katika Ukingo wa Magharibi, ambapo upanuzi wa makazi na vurugu za walowezi vimebaki kuwa kikwazo kikubwa kwa juhudi za amani ya kudumu

Kiongozi wa Hamas anaelekea Cairo kwa mazungumzo ya kusitisha mapigano Gaza

Khalil al-Hayya anaongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa Hamas kwa ajili ya mazungumzo na maafisa wa Misri kuhusu juhudi za kuimarisha makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza.

Afrika

f28ea954 f9de 4897 8979 adea77e247c1 1786954014811

Rais Hakainde Hichilema aongoza matokeo ya awali ya uchaguzi wa Zambia

Hata hivyo, ushindi wa Hichilema umepokelewa tofauti na waangalizi wa kimataifa, wakisema mchakato huo haukuwa wa haki.

Mamlaka za Marekani zinasitisha ulinzi dhidi ya kufukuzwa kwa Wasomali na raia wa Sudan Kusini

Jaji wa mahakama ya kitaifa amefungua njia kwa utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump kuondoa kinga ya kisheria dhidi ya kufukuzwa nchini kwa karibu Wasomali 1,100.

Polisi wa Morocco wazuia wimbi jipya la wahamiaji kuelekea Ceuta ya Hispania

Mamlaka zinapeleka maafisa wa ziada wa usalama na ndege zisizo na rubani kufuatia wito kwenye mitandao ya kijamii wa kuvuka kwa wingi kuingia Ceuta na Melilla.

Mkuu wa jeshi la Sudan atangaza Khartoum kuwa salama, asema jeshi ni mali ya Wasudan wote.

Abdel Fattah al-Burhan anawahimiza Wasudan wote kurejea nchini.