Ulimwengu

Watu 9 wafariki dunia wakimuabudu ‘mungu’ wa kihindu nchini India
Tukio hilo limetokea ndani ya hekalu la Ashok Dham liloloko katika wilaya ya Lakhisarai, wakati wakitoa ibada kwa mungu wa kihindu, maarufu kama Shiva.
Wito waa Papa Leo unaongeza shinikizo la kimataifa kuhusu jinsi Wapalestina wanavyotendewa katika Ukingo wa Magharibi, ambapo upanuzi wa makazi na vurugu za walowezi vimebaki kuwa kikwazo kikubwa kwa juhudi za amani ya kudumu
Khalil al-Hayya anaongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa Hamas kwa ajili ya mazungumzo na maafisa wa Misri kuhusu juhudi za kuimarisha makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje anasema Tehran na Muscat bado zinajadili taarifa hiyo; kurejeshwa kikamilifu kwa usalama katika njia hiyo ya maji kunategemea kukomeshwa kwa hatua za Marekani.
Afrika

Mamlaka za Marekani zinasitisha ulinzi dhidi ya kufukuzwa kwa Wasomali na raia wa Sudan Kusini
Jaji wa mahakama ya kitaifa amefungua njia kwa utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump kuondoa kinga ya kisheria dhidi ya kufukuzwa nchini kwa karibu Wasomali 1,100.
Mamlaka zinapeleka maafisa wa ziada wa usalama na ndege zisizo na rubani kufuatia wito kwenye mitandao ya kijamii wa kuvuka kwa wingi kuingia Ceuta na Melilla.
Abdel Fattah al-Burhan anawahimiza Wasudan wote kurejea nchini.
Afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya kibinadamu anasema “Ebola inashindikana” nchini DRC na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi za kimataifa.
Michezo

















