Mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Marekani na Iran yaliyofanyika Islamabad, Pakistan, yamekumbwa na msuguano baada ya kushindwa kufikia makubaliano ya mwisho kuhusu mustakabali wa mgogoro huo.
Mazungumzo hayo yalifanyika kufuatia mapigano makali na mashambulizi ya anga yaliyoripotiwa kati ya pande hizo, hali iliyochangia kuongezeka kwa wasiwasi wa kiusalama katika Mashariki ya Kati.
CHANZO: Newstimetr














