Baada ya kutangazwa kwa matokeo ya awali, Mahakama ya Katiba ya Benin ndiyo yenye mamlaka ya mwisho ya kuthibitisha na kutangaza mshindi rasmi wa uchaguzi huo wa urais.
Kura zaidi ya milioni 4.6 zilipigwa, na uchaguzi huo ulifanyika ndani na nje ya nchi bila changamoto kubwa za kiusalama, huku tume ikisema mchakato ulifanyika kwa uwazi na usahihi wa kidijitali.
CHANZO: Newstimetr














