Wanafunzi kadhaa Kenya wahofiwa kufariki kufuatia ajali ya moto katika bweni la shule ya wasichana

Takriban wanafunzi 10 wanahofiwa kufariki baada ya moto kuwaka katika bweni la shule ya wasichana ya Utumishi Academy huko Gilgil, Kaunti ya Nakuru, Kenya, mapema alfajiri ya Alhamisi.
28 Mei, 2026
WHO yataka mapigano kusitishwa mashariki mwa DRC huku maambukizi ya Ebola yakiongezeka

Mkuu wa WHO ametoa wito wa kusitishwa mapigano mashariki mwa DRC ili kudhibiti mlipuko wa Ebola, akisema mapigano yanayoendelea yamesababisha watu wengi kuondolewa katika makazi yao na kusababisha maambukizi zaidi.
27 Mei, 2026
Uganda yafunga mpaka wake na DRC huku maambukizi ya Ebola yakiongezeka

Mamlaka nchini Uganda zimeagiza kufungwa kwa mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo “mara moja” huku maambukizi ya aina ya sasa ya Ebola yakiongezeka.
27 Mei, 2026
Afrika Kusini yapinga msimamo wa Marekani kuwa kuna dharura ya kuwaokoa wazungu

Serikali ya Afrika Kusini na kundi la kutetea jamii ya Afrikaner siku ya Jumatano walipinga msimamo wa serikali ya Marekani kuwa kuna hali ya dharura ambapo wazungu wa Afrika Kusini wanapitia changamoto.
27 Mei, 2026

Marekani yaandaa kituo cha karantini Kenya kwa raia wake walioambukizwa Ebola

Hantavirus: Maambukizi kutoka kwa mlipuko katika meli zimeongezeka hadi 13

Marekani yataka kuweka kituo cha karantini nchini Kenya kwa raia wake wanaoshukiwa kuambukizwa Ebola

Trump aongeza kiwango cha juu cha wakimbizi kwa 10,000 kuleta Waafrika Kusini weupe zaidi

Marais wa Misri na Iran wajadili juhudi za amani Mashariki ya Kati
26 Mei, 2026
Thailand yaagiza wanaowasili kutoka DRC, Uganda kukaa karantini siku 21 kwa uangalizi wa Ebola
Thailand imeweka masharti ya lazima ya karantini ya siku 21 kwa wasafiri wanaotoka au waliopitia Jamhuri Kidemokrasia ya Congo au Uganda ili kudhibiti uwezekano wa maambukizi ya Ebola.

26 Mei, 2026
Ofisi ya Rais Tanzania yatetea haki ya uhamisho kwa watumishi wa umma
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amesisitiza umuhimu wa kuboresha usimamizi wa watumishi wa umma nchini.

26 Mei, 2026
Wabunge Tanzania wataka taifa kuheshimiwa kufuatia kauli za Marekani
Mjadala huo umeibuka baada ya kauli za wabunge wa Marekani kupendekeza kutafakari upya uhusiano wao na Tanzania

26 Mei, 2026
Bunge la Senegal lamchagua aliyekuwa Waziri Mkuu Sonko kuwa spika mpya
Bunge la Senegal limemchagua aliyekuwa waziri mkuu kuwa spika

26 Mei, 2026
Watu watatu wauawa baada ya gari kugongana na ndovu katika mbuga nchini Uganda
Gari hilo lilikuwa limewabeba wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Uganda.

26 Mei, 2026
Mamilioni ya mahujaji watekeleza nguzo muhimu ya Arafah
Hajj ni miongozi mwa nguzo tano za dini ya Kiislamu, kila Muislamu mwenye uwezo wa kifedha na afya anapaswa kutekeleza ibada hio angalau mara moja katika maisha yake.

26 Mei, 2026
Mkuu wa WHO kutembelea DRC huku tishio la mlipuko wa Ebola likiongezeka
Wakati mambukizi 101 na vifo 10 vilivyothibitishwa, Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kiwango halisi ni kikubwa zaidi.

25 Mei, 2026
Jeshi la Sudan ladhibiti eneo karibu na mpaka Ethiopian baada ya makabiliano na RSF
Jeshi la Sudan linasema Jumapili kuwa vikosi vyake vimedhibiti eneo la Al Baraka viungani mwa mji wa Al Kurmuk katika jimbo la Blue Nile karibu na mpaka wa Ethiopia.

25 Mei, 2026
Maporomoko ya ardhi katika mgodi haramu wa dhahabu Angola waua watu 28
Watu wasiopungua 28 wameuawa baada ya maporomoko ya ardhi kukumba mgodi haramu wa dhahabu mkoa wa kaskazini magharibi wa Bengo nchini Angola, mamlaka za nchini humo zilisema siku ya Jumatatu.

25 Mei, 2026
Rais wa Uturuki Erdogan aadhimisha Siku ya Afrika, Umoja wa Afrika
Recep Tayyip Erdogan ametuma salamu kwa ‘kaka na dada zake wa Afrika’ kote barani, akieleza uhusiano thabiti wa kihistoria na ubinadamu



