Rais Recep Tayyip Erdogan amempokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Vatican, Pietro Kardinali Parolin siku ya Jumatano, jijini Ankara.
Baadaye, wawili hao walifanya kikao ndani ya Ikulu ya Ankara.
Rais Recep Tayyip Erdogan amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Vatican, Pietro Kardinali Parolin.