Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth amesema nchi yake ina mpango wa kukabiliana na hali yoyote katika Mlango Bahari wa Hormuz.
Alisema mashambulizi ya Iran katika eneo hilo yanaonyesha “kukata tamaa,” lakini akasisitiza kuwa Marekani haitaruhusu usafiri wa meli za biashara kuvurugwa.
Hormuz ni moja ya njia muhimu zaidi duniani kwa usafirishaji wa mafuta na bidhaa za kimataifa.
CHANZO: Newstimetr














