Maelfu waandamana kupinga mashambulizi ya Israeli Gaza

Jijini Istanbul kumefanyika maandamano yaliyotoa wito wa kutaka kusitishwa kwa mapingano yanayoendelea Gaza, Palestina, huku washiriki wakitaka hatua zaidi kutoka mataifa ya Kiislamu na kulaani ukimya wa dunia.
21 Aprili, 2025
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan akutana na ujumbe wa Hamas kujadili kusitisha mapigano Gaza

Ankara inataka mwitikio mkubwa wa kimataifa kwa vikwazo vya Israel dhidi ya Gaza na inathibitisha kuunga mkono maridhiano ya Wapalestina katika mazungumzo ya ngazi ya juu na uongozi wa Hamas.
21 Aprili, 2025
Maspika wa Bunge wa nchi 13 wanapaza sauti zao dhidi ya mashambulizi ya Israel huko Gaza

Maspika wa bunge kutoka nchi 13 walikusanyika mjini Istanbul, ambako walilaani mashambulizi yanayoendelea ya Israel dhidi ya Gaza, wakataka hatua za haraka za kimataifa, na kusisitiza kuunga mkono Palestina.
21 Aprili, 2025
Ubalozi wa Uturuki mjini Cairo waandaa hafla kuhusu uhusiano wa Misri na NATO, jukumu la Mawasiliano

Katika kuadhimisha miaka 100 ya uhusiano wa kidiplomasia wa Utuurki-Misri, Balozi Salih Mutlu Sen anasisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano na Cairo, pamoja na kushirikiana na Italia kutumika kama Kituo cha Mawasiliano cha NATO mnamo 2025-2026.
21 Aprili, 2025

Erdogan: Kufika Msikiti wa Al Aqsa ni kuvuka mpaka

Rais wa Uturuki ashtumu Israeli kwa mashambulizi ya Gaza, atoa wito kwa dunia kuwajibika

Uwanja wa Ndege wa Istanbul unakuwa wa kwanza Ulaya kuzindua ndege tatu kuruka kwa wakati mmoja

Erdogan: Wale wanaozuia utulivu wa Syria watakabiliana na Uturuki na Damascus kwa pamoja

Uturuki yalaani shambulio baya katika kambi ya wakimbizi ya Sudan
15 Aprili, 2025
Emine Erdogan apokea tuzo ya ‘Kiongozi Bora wa Kike Ulimwenguni’ katika Global Donors Forum
Mke wa Rais Emine Erdogan anatunukiwa mjini Istanbul kwa maono yake ya kibinadamu na utetezi wa kimataifa.

15 Aprili, 2025
Uturuki ‘tegemeo’ Afrika, kiwango cha biashara chafika dola bilioni 36: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje
Kiwango cha biashara cha Uturuki kimeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, na kukuwa kutoka dola bilioni 3.6 hadi dola bilioni 36.

15 Aprili, 2025
Maandalizi ya mkutano wa Rais wa Uturuki, Marekani yanaendelea: Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan amesema kwamba jitihada zinaendelea kufanyika katika kuratibu mkutano kati ya Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na Rais wa Marekani Donald Trump, pia akisema Erdogan anatarajia kuitembelea Syria.



