Erdogan, Trump, Mohammed bin Salman na al-Sharaa waanza mazungumzo kwa njia ya mtandao

Trump amesema Mfalme Mohammed bin Salman na Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan wamemhimiza kukutana na Rais wa Syria al-Sharaa
14 Mei, 2025
Uturuki inaongoza mchakato wa kimataifa wa diplomasia kwa ajili ya amani — Erdogan

Mawasiliano ya hivi karibuni kwa Urusi na Ukraine yameleta fursa mpya, anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, akiongeza kuwa anaamini fursa hii ‘haitopotezwa’
12 Mei, 2025
Mazungumzo ya Urusi na Ukraine nchini Uturuki ‘ni ya muhimu sana’ — Trump

“Nadhani kutapatikana tija kutoka kwenye mkutano huo,” amesema rais wa Marekani kuhusu mazungumzo ya amani ya Alhamisi jijini Istanbul.
12 Mei, 2025
Mapigo ya kihistoria dhidi ya ugaidi: PKK inatangaza kuvunja na kuweka chini silaha

Vita vya Uturuki kwa ‘mustakabali bila hofu’ vimeingia hatua muhimu – kwa muafaka wa kisiasa na umoja wa kitaifa unaimarisha juhudi nchini chini ya uongozi wa Rais Erdoğan na kiongozi wa MHP Bahceli, asema msemaji wa AK Party Omer Celik.
12 Mei, 2025

Putin yuko tayari kwa mazungumzo ya moja kwa moja na Ukraine nchini Uturuki

Mwanafunzi wa Kituruki aliyeachiliwa Marekani awashukuru waliomuunga mkono

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan afichua alivyosalimika jaribio la kuuawa kwa sumu

Rais wa Uturuki Erdogan awapongeza watu wa Ulaya wakati wakiadhimisha Siku ya Ulaya

Uturuki yasema ripoti ya Bunge la Ulaya “inapotosha na haina msingi”
7 Mei, 2025
Waandishi wa habari wasifia Ziara ya Uturuki ya mbio za baiskeli
Waandishi wa habari wa kimataifa wanaoendesha baiskeli wamesifu Ziara ya Rais wa Baiskeli ya Uturuki ya miaka 60 kama tukio la aina yake katika jukwaa la kimataifa.

7 Mei, 2025
‘Meli ya Wema’ ya pili ya Uturuki yawasili Sudan na misaada
Meli hiyo ya kibinadamu iliwasilisha misaada muhimu ikiwa ni pamoja na vifurushi vya chakula, nguo, vifaa vya usafi na vifaa vya makazi huku mzozo wa kivita kati ya makundi hasimu ya kijeshi ukiendelea.

27 Aprili, 2025
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Hakan Fidan aelekea Qatar kwa mazungumzo kuhusu Gaza
Waziri Fidan atakutana na amir na waziri mkuu wa Qatar ili kuimarisha ushirikiano wa pande mbili na kuratibu diplomasia ya kikanda huku kukiwa na mzozo wa Gaza.

27 Aprili, 2025
Spika wa bunge la Uturuki ahudhuria mazishi ya Papa Francis huko Vatican
Zaidi ya watu 250,000, ikiwa ni pamoja na viongozi mbalimbali wa dunia, familia ya kifalme, walihudhuria mazishi ya papa.

26 Aprili, 2025
Rais wa Uturuki, waziri mkuu wa New Zealand wajadili uhusiano wa pande mbili huko Istanbul
Mkutano katika Ofisi ya Rais ya Dolmabahce pia unashughulikia masuala ya kikanda na kimataifa.

24 Aprili, 2025
Erdogan: Uturuki iko tayari kuandaa michezo ya Olimpiki wakati UEFA ikifungua ofisi zake Istanbul
Rais wa Uturuki ameeleza sifa za taifa lake katika suala la michezo duniani wakati wa hafla ya maandalizi ya mechi za Euro 2032.

23 Aprili, 2025
Uturuki inasherehekea siku ya Uhuru na Siku ya Watoto, ikiwa pia ni siku ya kuanzishwa kwa Bunge
Huku sauti za watoto zikirindima kote nchini, Uturuki inaadhimisha kuanzishwa kwa bunge pia, ambapo mbegu ya uhuru ilipandwa na kutoa fursa kwa vizazi vya baadaye.

23 Aprili, 2025
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.2 lapiga Istanbul, hakuna madhara yaliyoripotiwa
Tetemeko la ardhi Istanbul. Nawatakia mema raia wetu, na tunafuatilia kwa karibu yanayojiri, amesema Rais Recep Tayyip Erdogan

23 Aprili, 2025
Uturuki inatoa salamu za rambirambi kwa wahanga wa shambulio la Kashmir
Watu wenye silaha waliwafyatulia risasi watalii huko Pahalgam, na kusababisha vifo vya takriban watu 26.

23 Aprili, 2025
Rais Erdogan wa Uturuki apongeza msimamo thabiti wa Pakistan kuhusu Gaza
“Pakistani ni mojawapo ya nchi ambazo zilijibu kwa nguvu zaidi mauaji ya halaiki huko Gaza,” anasema Recep Tayyip Erdogan.



