26 Julai, 2025

Uturuki yaonya juu ya kuongezeka kwa mvutano nchini Syria, yahimiza umoja na azimio la amani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan anasema Uturuki inaendelea kujitolea kwa utimililifu wa eneo la Syria na kuwaita pande zote kuondoa silaha na kutafuta mazungumzo.

db4df3828bab3c817aca994662e5f6bb6505a4ffa3465e919171e3883bb407c0

26 Julai, 2025

Uturuki yaonya juu ya kuongezeka kwa mvutano nchini Syria, yahimiza umoja na azimio la amani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan anasema Uturuki inaendelea kujitolea kwa utimililifu wa eneo la Syria na kuwaita pande zote kuondoa silaha na kutafuta mazungumzo.

db4df3828bab3c817aca994662e5f6bb6505a4ffa3465e919171e3883bb407c0

2 Juni, 2025

Erdogan apongeza mazungumzo ya amani ya Urusi na Ukraine jijini Istanbul kama ‘hatua muhimu’

Matamshi ya rais wa Uturuki yanafuatia hatua nyingine ya mazungumzo ya Urusi na Ukraine jijini Istanbul, ambayo aliyapongeza licha ya mashambulizi ya Ukraine ya hivi karibuni ya ndege zisizokuwa na rubani dhidi ya miundombinu ya kijeshi ya Urusi.

ce2a3238a44ef9ef187d041cec863ff14ca17c5abc81f4d10496b04452a76983

2 Juni, 2025

Hatua ya pili ya mazungumzo ya Urusi na Ukraine yakamilika jijini Istanbul

Ukraine inasema imetaka kurudishwa kwa watoto kutoka Urusi

e3da168adfa268c3970c6cbf2ad09fbdd196157c23295d8b8858d8b053f1231e

2 Juni, 2025

Klabu ya Alves Kablo ya nchini Uturuki yashinda Ligi ya Mabingwa kwa upande wa walemavu

Timu ya walemavu ya Alves Kablo imetwaa ubingwa huo baada ya kuibugiza Wisla Krakow ya Poland kwa jumla ya mabao 6-1, katika mchezo wa fainali uliofanyika jijini Ankara.

4434faaf3106034cbe10bc5c7713c1558fa1c8e179ef3523a82430fa9a891e9c

31 Mei, 2025

Familia Imara, Jamii Imara: Rais Erdogan anasisitiza umuhimu wa kukuza maadili ya familia

Rais wa Uturuki Erdogan anapongeza bodi ya wakurugenzi na wafanyakazi wa Istanbul Family Foundation, pamoja na wale waliosaidia kuandaa Kongamano la 3 la Kimataifa la Familia, na pia aliwasalimu washiriki na wageni wote.

2a8afcd8c942ed3f6fae8611790c14cff712bc9647ae4c7a1a5f32c3323d0145

30 Mei, 2025

Uturuki inatarajia kuwa mwenyeji wa Trump, Putin na Zelenskyy lengo kumaliza vita Urusi na Ukraine

‘Tumeonesha kuwa mazungumzo ya Urusi na Ukraine jijini Istanbul yanaweza kuleta matokeo yenye tija,’ Hakan Fidan amesema wakati wa ziara yake nchini Ukraine

715603e99fb352722cfce99643789f2dfc48c8ddee00434a2c3e740643c75da1

29 Mei, 2025

Erdogan aisindikiza meli ya kuzalisha gesi ya Uturuki Bahari Nyeusi

Kadiri Uturuki inavyoendelea kuwekeza kwenye uzalishaji wa gesi ya ndani, ndivyo Osman Gazi inavyozidi kuongeza nafasi ya nchi kujitegemea katika usalama wa nishati na ulinzi.

924ff8ec7b1f97f6bc104981a0fd28af59c2c3b215bbbbce8856680813fb422a

29 Mei, 2025

Sarajevo kuhodhi vikao vya umma ya Mahakama Maalum ya Gaza inayochunguza uhalifu wa vita vya Israeli

Majadiliano yatashughulika na mada mbalimbali, ikiwemo uhalifu wa ukoloni wa wakaaji, mifumo ya uhalifu, ubaguzi wa rangi, uhamisho wa lazima wa watu, ulinzi wa wananchi, mapungufu ya mfumo wa Umoja wa Mataifa, na kufanya maandamano kuwa uhalifu.

aa 20250525 38074414 38074376 israeli attacks continue on gaza

28 Mei, 2025

Uturuki yafanya maandalizi mazuri kwa mahujaji 84,000, yasifu ushirikiano na Saudia

Rais wa Masuala ya Dini wa Uturuki (Diyanet) amesema nchi imefanya operesheni kubwa mpaka sasa kusaidia mahujaji.

img 3308
Loading...