Uturuki inatoa salamu za rambirambi kwa wahanga wa shambulio la Kashmir

Watu wenye silaha waliwafyatulia risasi watalii huko Pahalgam, na kusababisha vifo vya takriban watu 26.
23 Aprili, 2025
Rais Erdogan wa Uturuki apongeza msimamo thabiti wa Pakistan kuhusu Gaza

“Pakistani ni mojawapo ya nchi ambazo zilijibu kwa nguvu zaidi mauaji ya halaiki huko Gaza,” anasema Recep Tayyip Erdogan.
23 Aprili, 2025
Algeria inalenga kuimarisha kiwango cha biashara na Uturuki hadi dola Bilioni 10-Waziri wa Algeria

Mawaziri wa mambo ya nje wa Algeria, Uturuki wenyeviti wenza waratibu mkutano wa tatu wa mipango kati ya Uturuki na Algeria.
21 Aprili, 2025
Maelfu waandamana kupinga mashambulizi ya Israeli Gaza

Jijini Istanbul kumefanyika maandamano yaliyotoa wito wa kutaka kusitishwa kwa mapingano yanayoendelea Gaza, Palestina, huku washiriki wakitaka hatua zaidi kutoka mataifa ya Kiislamu na kulaani ukimya wa dunia.
21 Aprili, 2025

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan akutana na ujumbe wa Hamas kujadili kusitisha mapigano Gaza

Maspika wa Bunge wa nchi 13 wanapaza sauti zao dhidi ya mashambulizi ya Israel huko Gaza

Ubalozi wa Uturuki mjini Cairo waandaa hafla kuhusu uhusiano wa Misri na NATO, jukumu la Mawasiliano

Erdogan: Kufika Msikiti wa Al Aqsa ni kuvuka mpaka

Rais wa Uturuki ashtumu Israeli kwa mashambulizi ya Gaza, atoa wito kwa dunia kuwajibika
21 Aprili, 2025
Uwanja wa Ndege wa Istanbul unakuwa wa kwanza Ulaya kuzindua ndege tatu kuruka kwa wakati mmoja
“Hii siyo tu mara ya kwanza kwa Uturuki, bali katika sekta ya anga barani Ulaya. Baada ya Marekani, Uturuki ndio nchi pekee ambayo imeanzisha utaratibu huo,” amesema Waziri.

16 Aprili, 2025
Erdogan: Wale wanaozuia utulivu wa Syria watakabiliana na Uturuki na Damascus kwa pamoja
Erdogan kuendeleza ushirikiano na serikali ya Syria kulinda umoja wa nchi hiyo, kuzuia juhudi za uvunjifu wa amani zinazoungwa mkono na mataifa ya kigeni, na kupinga majaribio ya kurudisha nyuma maendeleo yaliyopatikana tangu mabadiliko ya Disemba 8

15 Aprili, 2025
Uturuki yalaani shambulio baya katika kambi ya wakimbizi ya Sudan
Ankara yataka kusitishwa kwa mzingiro wa Al Fasher baada ya shambulio kwenye kambi ya Zamzam kuua raia na wafanyikazi wa misaada.

15 Aprili, 2025
Emine Erdogan apokea tuzo ya ‘Kiongozi Bora wa Kike Ulimwenguni’ katika Global Donors Forum
Mke wa Rais Emine Erdogan anatunukiwa mjini Istanbul kwa maono yake ya kibinadamu na utetezi wa kimataifa.

15 Aprili, 2025
Uturuki ‘tegemeo’ Afrika, kiwango cha biashara chafika dola bilioni 36: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje
Kiwango cha biashara cha Uturuki kimeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, na kukuwa kutoka dola bilioni 3.6 hadi dola bilioni 36.

15 Aprili, 2025
Maandalizi ya mkutano wa Rais wa Uturuki, Marekani yanaendelea: Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan amesema kwamba jitihada zinaendelea kufanyika katika kuratibu mkutano kati ya Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na Rais wa Marekani Donald Trump, pia akisema Erdogan anatarajia kuitembelea Syria.


