10 Mei, 2025

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan afichua alivyosalimika jaribio la kuuawa kwa sumu

Wanadiplomasia mkubwa wa Uturuki Hakan Fidan ameelezea alivyosalimika jaribio la kuuawa kupitia sumu ya zebaki na aseniki.

aa 37561890 eded6464c3e91f6bc022383b6b6f4072 1744099429870

9 Mei, 2025

Rais wa Uturuki Erdogan awapongeza watu wa Ulaya wakati wakiadhimisha Siku ya Ulaya

Katika kipindi hiki kigumu, Umoja wa Ulaya uliyo thabiti ni muhimu kwa maslahi ya kila mtu, amesema Recep Tayyip Erdogan.

turkiye 20president

9 Mei, 2025

Uturuki yasema ripoti ya Bunge la Ulaya “inapotosha na haina msingi”

Ankara inasema ripoti ya Bunge la Ulaya ya mwaka 2023-2024 kuhusu Uturuki inakuza msimamo hasi dhidi ya Uturuki na kuzorotesha uhusiano na Umoja wa Ulaya kwa madai “yasiyo na msingi na yenye kuelemea upande mmoja.”

turkey 20news

7 Mei, 2025

Waandishi wa habari wasifia Ziara ya Uturuki ya mbio za baiskeli

Waandishi wa habari wa kimataifa wanaoendesha baiskeli wamesifu Ziara ya Rais wa Baiskeli ya Uturuki ya miaka 60 kama tukio la aina yake katika jukwaa la kimataifa.

aa 37833893

7 Mei, 2025

‘Meli ya Wema’ ya pili ya Uturuki yawasili Sudan na misaada

Meli hiyo ya kibinadamu iliwasilisha misaada muhimu ikiwa ni pamoja na vifurushi vya chakula, nguo, vifaa vya usafi na vifaa vya makazi huku mzozo wa kivita kati ya makundi hasimu ya kijeshi ukiendelea.

aa 37854529

27 Aprili, 2025

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Hakan Fidan aelekea Qatar kwa mazungumzo kuhusu Gaza

Waziri Fidan atakutana na amir na waziri mkuu wa Qatar ili kuimarisha ushirikiano wa pande mbili na kuratibu diplomasia ya kikanda huku kukiwa na mzozo wa Gaza.

fab 1 2

27 Aprili, 2025

Spika wa bunge la Uturuki ahudhuria mazishi ya Papa Francis huko Vatican

Zaidi ya watu 250,000, ikiwa ni pamoja na viongozi mbalimbali wa dunia, familia ya kifalme, walihudhuria mazishi ya papa.

fab 1

26 Aprili, 2025

Rais wa Uturuki, waziri mkuu wa New Zealand wajadili uhusiano wa pande mbili huko Istanbul

Mkutano katika Ofisi ya Rais ya Dolmabahce pia unashughulikia masuala ya kikanda na kimataifa.

fab 1 2

24 Aprili, 2025

Erdogan: Uturuki iko tayari kuandaa michezo ya Olimpiki wakati UEFA ikifungua ofisi zake Istanbul

Rais wa Uturuki ameeleza sifa za taifa lake katika suala la michezo duniani wakati wa hafla ya maandalizi ya mechi za Euro 2032.

uefa

23 Aprili, 2025

Uturuki inasherehekea siku ya Uhuru na Siku ya Watoto, ikiwa pia ni siku ya kuanzishwa kwa Bunge

Huku sauti za watoto zikirindima kote nchini, Uturuki inaadhimisha kuanzishwa kwa bunge pia, ambapo mbegu ya uhuru ilipandwa na kutoa fursa kwa vizazi vya baadaye.

turkey 20front 20image
Loading...