Mashambulizi ya Marekani yamepiga maeneo yasiyo na kundi la Daesh nchini Nigeria, wakaazi wasema

Mbunge wa jimbo anakielezea kijiji cha Jabo kama ‘jamii yenye amani’ isiyo na ‘historia inayojulikana ya Daesh, Lakurawa, au vikundi vingine vya kigaidi vinavyoendesha shughuli zao katika eneo hilo.’
27 Desemba, 2025
Dunia inasimama pamoja na Somalia ili kulaani utambuzi wa Israel wa Somaliland

Wataalamu wanasema tangazo la Israel linaashiria mipango ya “kupanua” uhusiano mara moja, na kupendekeza maslahi ya kimkakati katika rasilimali za Somaliland na uwezekano wa uhamisho wa Wapalestina.
27 Desemba, 2025
Palestina yalaani na kukemea tamko la Israel kutambua Somaliland

Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetoa tamko kali kulaani jaribio lolote la kudhoofisha uhalali, usalama na umoja wa Somalia
27 Desemba, 2025
Umoja wa Afrika, Jumuiya ya nchi za Kiarabu wanakataa utambuzi wa Israel wa Somaliland

Jumuiya ya Afrika nzima inaonya hatua yoyote ya kutambua eneo lililojitenga la Somalia kuwa hatari ya kudhoofisha uhuru, na kuweka ‘mfano hatari’ katika bara zima.
27 Desemba, 2025

Somalia inalaani hatua ya Israel kuitambua Somaliland

Uturuki yashtumu Israel kutambua Somaliland kama kinyume cha sheria, kuzua taharuki

Vikosi washirika vya jeshi la Sudan vinasema vimetibuwa mashambulizi ya RSF Darfur Kaskazini

Balozi wa Somalia nchini Uturuki apongeza mchango wa Uturuki kwa usalama uchaguzi wa kihistoria

Nigeria yathibitisha mashambulizi ya Marekani dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh
25 Desemba, 2025
Polisi akataa rushwa ya dola $50,000 katika uwanja wa ndege nchini Zambia
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zambia (ACC) imempongeza polisi wa kike aliyekataa rushwa ya dola $50,000 kutoka kwa mshukiwa wa utakatishaji fedha katika uwanja wa ndege mji mkuu wa Lusaka.

25 Desemba, 2025
Uturuki, Libya kufanya uchunguzi wa pamoja wa ajali ya ndege iliyomuua mkuu wa majeshi, wengine saba
Mkuu wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai ya Libya na ujumbe wake, walitembelea Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Ankara Alhamisi, huku uchunguzi wa pamoja wa ajali ya Jumanne ya ndege ukiendelea.

25 Desemba, 2025
Waendesha mashtaka Uturuki kufanya uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya ndege ya Libya Ankara
Uturuki pia itaangazia hali ya rubani, ubora wa kiufundi, rekodi za ndege, ikiwemo vipuri.

25 Desemba, 2025
Mlipuko msikitini waua kadhaa katika jimbo la Borno, Nigeria
Mlipuko ulitokea msikitini wakati wa sala ya jioni Jumatano katika eneo la Maiduguri, mji mkuu wa jimbo la Borno nchini Nigeria, kwa mujibu wa shahidi aliyeongea na Reuters.

24 Desemba, 2025
Tembo waua watu wanne Kenya katika kipindi cha wiki moja
Baadhi ya raia wa Kenya walilalamika siku ya Jumatano baada ya tembo waliokuwa wakiranda randa kuwaua watu wanne katika kipindi cha wiki moja kwa kile wataalamu wanaeleza mzozo kati ya binadamu na wanyamapori unaosababishwa na uhaba wa malisho.

24 Desemba, 2025
RSF yadai kuchukuwa udhibiti wa maeneo mawili katika eneo la Sudan la Kaskazini mwa Darfur
Wapiganaji wa Rapid Support Forces (RSF) wanadai kuchukuwa udhibiti wa maeneo mawili katika jimbo la magharibi mwa Sudan la Darfur Kaskazini.

24 Desemba, 2025
Waziri wa Ulinzi wa Uturuki awatembelea kuwafariji maafisa wa Libya, familia zao jijini Ankara
Yasar Guler, Mkuu wa Majeshi Bayraktaroglu walitoa salamu zao za rambirambi kwa maafisa wa Libya na familia zao baada ya ajali ya ndege

24 Desemba, 2025
Rais wa Uturuki ametoa salamu za rambirambi kwa Waziri Mkuu Libya kufuatia ajali mbaya ya ndege
Recep Tayyip Erdogan ametoa salamu zake za rambirambi kwa Abdul Hamid Dbeibah katika mazungumzo kwa njia ya simu baada ya ajali ya ndege jijini Ankara iliyosababisha kifo cha mkuu wa majeshi ya Libya, mkurugenzi wa mawasiliano wa Uturuki amesema.

24 Desemba, 2025
Haftar wa Libya atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mkuu wa jeshi katika ajali ya ndege
Khalifa Haftar ameonyesha “huzuni kubwa” baada ya Mkuu wa Jeshi wa Libya, Mohammed al-Haddad, pamoja na maafisa wanne wakuu wa kijeshi, kufariki dunia katika ajali ya ndege karibu na Ankara.

24 Desemba, 2025
Libya inatangaza siku tatu za maombolezo baada ya Mnadhimu Mkuu wa jeshi kufariki katika ajali
Mnadhimu mkuu wa jeshi nchini Libya Mohammed al-Haddad na maafisa wanne wakuu wamefariki katika ajali kusini mwa Ankara, ofisi za Kituruki zinasema.



