Mahakama yakataa ombi la Lissu kumuita Rais Samia kutoa ushahidi

Mahakama imekubali ombi la upande wa Utetezi la kuwaita viongozi watatu wa vyombo vya ulinzi na usalama kutoa ushahidi.
10 Septemba, 2026
Algeria yasitisha uhusiano wake wa kidiplomasia na UAE

Hatua hii inaashiria kudorora kwa uhusiano kati ya nchi mbili za Kiarabu.
10 Septemba, 2026
Ufalme wa Uganda wamteua mtangazaji wa televisheni kumrithi Mfalme Oyo Nyimba

Kamati ya ukoo wa kifalme kuhusu mrithi ilimtangaza Mwanamfalme Edward Rukidi Kijanangoma, mtangazaji na mhariri wa shirika la habari la serikali UBC, kuwa mfalme.
10 Septemba, 2026
Mufti Mkuu Tanzania atoa wito kwa Waislamu kufunga siku tatu kuomba kuepushwa na madhara ya El Nino

Mufti Mkuu amewaomba Waislamu kumuomba Mwenyezi Mungu afanye mvua hizo kuwa mvua ya rehema na yenye manufaa kwa jamii, badala ya kuwa chanzo cha adhabu na maafa.
9 Septemba, 2026

Umoja wa Mataifa wapongeza makubaliano ya Libya kuelekea katika uchaguzi

Putin amuambia Trump: Urusi haina nia ya kuzishambulia nchi za Ulaya

Wahamiaji zaidi ya 1,000 waokolewa pwani ya Afrika magharibi ndani ya wiki moja, MSF inasema

Ghana yasema imetumia $4.37 milioni kuwarudisha raia wake nyumbani kutoka Afrika Kusini

Waburundi waomba nyaraka za kusafiria kufuatia operesheni dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni Kenya
7 Septemba, 2026
Watu wawili wafariki, wengine 25 wajeruhiwa baada ya basi la mahujaji wa Misri kupata ajali Makkah
Mamlaka nchini Saudi Arabia hazikuzungumza mara moja chochote kuhusu ajali hiyo.

7 Septemba, 2026
Mume wa Rais Samia wa Tanzania afariki dunia
Salamu za rambirambi zinaendelea kutumwa kutoka maeneo mbalimbali kufuatia kifo cha mume wa Rais Samia Suluhu Hassan.

7 Septemba, 2026
Cabo Verde yatangaza maombolezo ya kitaifa baada ya vifo vya watoto katika ajali ya basi
Wafanyakazi wa dharura walishughulika usiku kucha kuwaokoa waliokuwa wamekwama kwenye sehemu ya basi hilo

6 Septemba, 2026
Mlipuko wa kipindupindu, Kordofan Magharibi umesababisha vifo vya watu 23
Wakazi katika baadhi ya maeneo ya Kordofan Magharibi wanaripotiwa kugeukia chakula cha mifugo huku uhaba wa chakula ukizidi kuwa mbaya na kuwaacha familia katika hali ngumu.

6 Septemba, 2026
Romanda Hombir wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World Africa 2026
Mafanikio ya Hombir yalikuja wakati shindano la Miss World likiadhimisha miaka 75 tangu kuanzishwa kwake.

6 Septemba, 2026
DRC inachunguza ajali mbaya ya moto katika sherehe ya harusi ulioua wageni 22
Inaripotiwa kuwa njia nyembamba za kupita zilifungika huku waliohudhuria wakikanyangana wakijaribu kukimbia kwa hofu.

5 Septemba, 2026
Marekani kuondoa ufadhili wa Dola milioni 45 za VVU kwa Namibia
Namibia inatarajiwa kulipia mipango yake ya HIV baada ya mwaka wa fedha wa 2027, ambapo Marekani itatolea “ushirikiano wa kiufundi” tu, nchi zote mbili ziliripoti

5 Septemba, 2026
Niger yaishutumu Ufaransa kwa jaribio lililofeli la uasi wa kijeshi
Kulingana na taarifa hiyo, Baraza la Mawaziri la Niger lilihitimisha kuwa shambulio hilo lilichochewa na mtandao mpana wa washirika ukiongozwa na Ufaransa.

5 Septemba, 2026
Huduma ya Kitaifa ya Polisi ya Kenya (NPS) inatoa onyo kwa wanasiasa kabla ya uchaguzi mkuu
NPS inasema kuwa yeyote anayepanga mkutano wa hadhara au maandamano lazima amjulishe mkuu wa polisi anayesimamia eneo husika angalau siku tatu na si zaidi ya siku 14 kabla ya tukio hilo.

5 Septemba, 2026
Marekani yaongeza muda wa AGOA hadi mwisho wa 2028
Sheria hiyo mpya inasogeza mbele tarehe ya mwisho hadi Desemba 31, 2028, na kuwapa wazalishaji na wawekezaji wa Afrika miaka miwili ya ziada ya kufikia soko la Marekani kwa masharti nafuu.



