Uturuki na Algeria wasisitiza ushirikiano wa kimkakati wakati wa mkutano wa Erdogan-Tebboune

Uturuki na Algeria wameeleza dhamira ya kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kufuatia mkutano kati ya Marais Recep Tayyip Erdogan na Abdelmadjid Tebboune siku ya Alhamisi.
7 Mei, 2026
Rais wa DRC asema yuko tayari kugombea muhula wa tatu ‘kama wananchi watataka’

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amesema yuko tayari kugombea muhula wa tatu iwapo wananchi wataidhinisha pendekezo hilo.
7 Mei, 2026
Umoja wa Mataifa unaonya kuhusu hali tete eneo linalozozaniwa kati ya Sudan na Sudan Kusini

Afisa mmoja mwandamizi wa Umoja wa Mataifa ameonya Baraza la Usalama kuwa hali ya usalama katika eneo linalozozaniwa la Abyei kati ya Sudan na Sudan Kusini imekuwa mbaya zaidi katika kipindi cha miezi sita iliopita.
7 Mei, 2026
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amtimua Waziri wa Fedha baada ya siku kadhaa ofisini

Waziri wa Fedha alikuwa ameshika wadhifa huo kwa chini ya wiki mbili, huku kipindi cha Mkuu wa Keshi kilikubwa na kuongezeka kwa hali ya ukosefu wa usalama.
7 Mei, 2026

Rigathi Gachagua arudi mahakamani kusikiliza kesi ya kupinga kuondolewa madarakani

Uturuki yashtumu mashambulizi ya Boko Haram yaliyowaua wanajeshi 23 Chad

Afrika Kusini yasema ‘haina ubaguzi’

Uturuki, Kenya yatia saini makubaliano ya ushirikiano wa ulinzi katika maonesho ya Istanbul expo

Nigeria, Marekani wazindua vikosi kazi vya ulinzi kukabiliana ukosefu wa usalama
6 Mei, 2026
Tanzania: Gharama za mafuta zazidi kupanda
Kulingana na EWURA, mabadiliko ya bei hayo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea eneo la Mashariki ya Kati, ikihusisha Marekani, Israel na Iran, pamoja na kufungwa kwa Mlango Bahari wa Hormuz.

6 Mei, 2026
Rais wa Algeria Tebboune kuwasili Uturuki kwa ziara rasmi ya siku tatu
Mkutano wa kwanza wa Baraza la Ushirikiano wa Kimkakati wa Ngazi ya Juu kati ya Uturuki na Algeria utafanyika katika mji mkuu Ankara.

5 Mei, 2026
Burkina Faso yapiga marufuku NGO zaidi, kufikisha idadi ya mashirika 205
Uongozi wa Burkina Faso umeagiza kufutwa kwa mashirika zaidi yasiyokuwa ya serikali, na kufikisha idadi ya mashirika yaliyopigwa marufuku kuwa 205.

5 Mei, 2026
Burkina Faso yapiga marufuku kituo cha televisheni cha Ufaransa kwa ‘upotoshaji’
Burkina Faso imepiga marufuku kituo cha televisheni cha Ufaransa TV5 Monde, ikikishtumu kwa kutoa “taarifa za kupotosha” kwa namna wanavyoangazia ugaidi nchini humo na katika nchi jirani ya Mali.

5 Mei, 2026
Shambulio la kigaidi la Boko Haram katika kambi ya jeshi Chad laua watu wasiopungua 24
Shambulio la usiku la wanaoshukiwa kuwa magaidi wa Boko Haram katika kambi ya jeshi Chad limewaua watu wasiopungua 24, afisa mmoja wa jeshi na msimamizi wa kanda walisema siku ya Jumanne.

5 Mei, 2026
Ghana kuwa mwenyeji wa kongamano la dunia kuhusu fidia kwa watumwa
Maafisa wanasema mkutano huo wa jijini Accra unalenga kuendeleza mjadala zaidi ya kukiri kuelekea katika kuweka mifumo thabiti ya fidia.

5 Mei, 2026
Shirika la Afya Duniani (WHO) lathibitisha maambukizi ya kirusi cha Hanta
Shirika la WHO lilisema siku ya Jumanne, kuwa linaendelea kufanya mawasiliano na mgonjwa mmojawapo aliyesafiri na meli hiyo Aprili 25, 2026, kati ya Saint Helena na Johannesburg.

5 Mei, 2026
Rais wa Taiwan asema hawatokubali kukandamizwa baada ya ziara yake ya Eswatini
Rais Lai Ching-te awali alipangwa kutembelea Eswatini mwezi Aprili lakini alilazimika kufuta safari hiyo.

5 Mei, 2026
Zambia yasema matamshi ya balozi wa Marekani anayeondoka ‘si ya kidiplomasia’
Zambia inasema imeshangazwa na matamshi ya Balozi wa Marekani anayeondoka Michael Gonzales, ikiyataja kama yasiyo ya kistaarabu, yasiyo ya kidiplomasia na kinyume na utaratibu wa kuheshimiana.

4 Mei, 2026
Jeshi la Sudan linasema limeangusha droni zilizokuwa zimeelekezwa uwanja wa ndege wa Khartoum
Shambulizi la droni lililenga uwanja wa ndege wa mji mkuu wa Sudan siku ya Jumatatu, chanzo cha kijeshi kilisema, siku mbili baada ya mashambulizi ya wapiganaji hao mjini Khartoum kuua watu watano.



