Katibu Mkuu UN asisitiza umuhimu wa mabadiliko ili Afrika ipate uwakilishi wa kudumu

Umoja wa Mataifa lazima ufanyiwe mabadiliko ili kuongeza uwakilishi wa Afrika, Katibu Mkuu Antonio Guterres alisema Jumatatu alipokuwa jijini Nairobi, nchini Kenya.
12 Mei, 2026
Wajerumani watatu na rubani wafariki dunia kufuatia ajali ya ndege Namibia

Rubani wa ndege ndogo pamoja na abiria watatu wa kutoka Ujerumani wamefariki dunia baada ya ndege yao kuanguka katika eneo maarufu la utalii la Sossusvlei nchini Namibia, kampuni ya kukodisha ndege ilisema Jumatatu.
11 Mei, 2026
Maandamano yenye vurugu dhidi ya wahamiaji hayaakisi maoni ya Afrika Kusini: Ramaphosa

Mfululizo wa maandamano dhidi ya wahamiaji katika wiki za hivi karibuni kote Afrika Kusini, pamoja na madai ya mashambulizi dhidi ya wageni, yamesababisha Nigeria na Ghana kueleza wasiwasi wao.
11 Mei, 2026
Bandari ya Lamu nchini Kenya yapokea meli kubwa zaidi kuwahi kutia nanga Afrika Mashariki na Kati

Habari za hivi punde, maoni, makala maalumu, uchambuzi wa kina na video kutoka TRT Afrika
11 Mei, 2026

Uganda na DRC kuimarisha ulinzi wa mipaka

Jeshi la Nigeria lakanusha kuhusu mashambulizi yake kuua raia, lasema majambazi 70 wameuawa

Kenya yahodhi Mkutano kati ya Afrika na Ufaransa

Kenya na Ivory Coast zakubali kuanzisha balozi ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia

Shambulio la waasi mashariki mwa DRC limesababisha vifo vya takriban watu 69
10 Mei, 2026
Dangote anazingatia Kenya kwa ujenzi wa kiwanda kipya cha kusafisha mafuta
Mtu tajiri zaidi barani Afrika Aliko Dangote anadhamiria kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta huko Mombasa nchini Kenya, cha uwezo wa kusafisha mapipa 650,000.

10 Mei, 2026
Macron aanza ziara ya Afrika kwa kituo cha kwanza Misri
Ziara ya Rais Emmanuel Macron inajumuisha Kenya na Ethiopia na inakuja huku kukiwa na chuki kali dhidi ya Ufaransa katika bara hilo.

9 Mei, 2026
WHO inathibitisha maambukizi 6 ya hantavirus yaliyohusishwa na meli ya kitalii ya Uhispania
Meli hiyo inayoendeshwa na Uholanzi iliondoka Cabo Verde Jumatano baada ya kukwama kutokana na mlipuko wa virusi hivyo.

9 Mei, 2026
Niger yafungia mashirika 10 ya habari ya Ufaransa
Serikali ya Niger ilishutumu vyombo vya habari vya Ufaransa kwa kutangaza maudhui yenye uwezo wa kuhatarisha ”utulivu wa kitaasisi.”

8 Mei, 2026
Serikali ya Mali haitofanya mazungumzo na makundi ya kigaidi
Waziri wa Mambo ya Nje Abdoulaye Diop amewaambia mabalozi kuwa serikali “haina mpango wa majadiliano” na makundi hayo ambayo wanayalaumu kwa mashambulizi ya hivi karibuni.

8 Mei, 2026
Umoja wa Mataifa unasema msaada kwa watu wa Somalia huenda ukasitishwa mwezi Juni
Somalia inakabiliwa na matatizo kadhaa, ikiwemo mashambulizi ya kigaidi ya kundi la Al-Shabaab dhidi ya serikali kuu.

8 Mei, 2026
Rais wa zamani wa Botswana Festus Mogae afariki dunia akiwa na umri 86
Festus Mogae aliongoza taifa hilo la kusini mwa Afrika kwa mwongo mmoja kuanzia 1998 na anakumbukwa kwa kuimarisha ukuaji wa uchumi na kukabiliana na maambukizi ya UKIMWI.

8 Mei, 2026
Mahakama ya Afrika Kusini ‘yafufua’ kesi ya kumng’oa madarakani Rais Cyril Ramaphosa
Ramaphosa anatuhumiwa kukwepa mamlaka za kodi za nchi hiyo, kuhusika na wizi wa fedha za kigeni ambazo baadaye anadaiwa kuzificha alizificha kwenye ranchi yake iliyopo Kaskazini mwa Jimbo la Limpopo.

8 Mei, 2026
Uganda yataka Umoja wa Ulaya kuheshimu nchi za Afrika
Hii ni baada ya Bunge la Ulaya kumuita balozi wa Uganda ili ajibu malalamiko yaliyotolewa kuhusu ghasia zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Januari 2026.

8 Mei, 2026
Zaidi ya watengeneza maudhui 200 wa Afrika wakutana Ethiopia
Mbali na kujenga mahusiano ya kikazi, mkutano huo unalenga kushirikiana katika kutengeneza maudhui na kuielezea taswira halisi ya bara la Afrika duniani.



