Rais wa Ghana John Mahama anaendelea na ziara zake za kimataifa, ikiwa ni pamoja na safari ya South Korea kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia.
Pia alihudhuria mkutano wa African Union mjini Addis Ababa na kushiriki maadhimisho ya miaka 20 ya African Court on Human and Peoples’ Rights nchini Tanzania.
Ndege inayotumika katika safari hizo ni ya mfanyabiashara Ibrahim Mahama, mdogo wa rais, ambaye ana biashara katika sekta ya madini, ujenzi na kilimo Afrika Magharibi.
CHANZO: Newstimetr














