31 Julai, 2026

Gwiji wa soka wa Italia Franco Baresi afariki dunia

Baresi alikuwa sehemu ya kikosi cha Italia, kilichopoteza mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia kwa Brazil, mwaka 1994.

6bc95677 34ee 4a2e 956f fe95bd3e3195 1785490062212

31 Julai, 2026

Taifa la Nauru labadilisha jina, sasa kuitwa Naoero

Uamuzi wa kubadili jina la taifa hilo, ulifikiwa mwezi Januari, kupitia muswada maalumu wa mabadiliko ya katiba ya nchi hiyo.

b3349879 003a 4c47 b715 8af018393c48 1785489304551

30 Julai, 2026

China yakana taarifa za kusafirisha vifaa vya kurusha makombora Iran

China imekanusha madai ya kuwa na mpango wa kusafirisha virusha makombora vinavyobebwa begani huku Pakistan ikikana kuhusika kwa namna yoyote katika mpango wa kusafirisha vifaa hivyo hadi Iran.

f0275628 401f 4849 9ed9 c57f8ced6c74 1785413898525

30 Julai, 2026

Marekani yaanzisha wimbi jipya la mashambulizi dhidi ya Iran

Jeshi la Marekani limesema mashambulizi hayo, ambayo ni ya kwanza baada ya kusitishwa kwa mashambulizi kwa siku kadhaa, yalikuwa “jibu kali” kwa kile ilichodai kuwa ni jaribio la Iran kushambulia wanajeshi wa Marekani waliyoko Mashariki ya Kati.

66622fdd 344a 4a65 a63a bf3307b230f2 1785394036111

28 Julai, 2026

Watu wasiojulikana waharibu kituo cha hija ya Wakatoliki nchini Bosnia

Kamera za usalama, zilimuonesha mtu mmoja akiiwasha altare ya kituo hicho cha hija moto, karibu na Kanisa la Mtakatifu Yakobo.

d490a54a 0cbf 4037 ba84 f9b2f5f6a030 1785242072904

28 Julai, 2026

Zelenskyy awasili Marekani, kukutana na Trump

Kupitia taarifa yake iliyowekwa kwenye ukurasa wa X, Zelenskyy alisema kuwa atakutana na Trump.

585d84be b37b 4667 ae83 cbd00093ad50 1785231339043

27 Julai, 2026

Iran yazishutumu baadhi ya nchi kwa kushirikiana na Marekani kuishambulia

Iran imezituhumu baadhi ya nchi za kanda kwa kuunga mkono mashambulizi ya Marekani dhidi yake, ikisema kuwa mazungumzo yoyote yatategemea mabadiliko ya mwenendo wa Marekani.

c91197a7 9c8d 4e28 96e4 e9503b6e5ed6 1785157406364

27 Julai, 2026

Iran imesema meli sita vimejaribu kuvuka Mlango Bahari wa Hormuz kinyume na utaratibu

Iran imesema meli hizo zilizima mfumo wamasiliano, huku meli tano zikielekezwa upande wa Ghuba.

2b0bc5d1 b7fb 4d4a a49c 806468cf2e7a 1785145127865

26 Julai, 2026

Uganda yamteua Balozi Olara Otunnu kuwania nafasi ya Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

Mpaka sasa, Otunnu atakuwa ni mgombea wa pili kutoka Afrika, baada ya rais wa zamani wa Senegal Macky Sall nae kuingia katika kinyang’anyiro hicho.

b7b63b2b 792b 408a b1c8 acaf2d17423a 1785061917682

24 Julai, 2026

Venezuela yapanga kujiondoa ICC

Licha ya kujiondoa ICC, waendesha mashitaka wa mahakama hiyo, wamesisitiza kuwa, kesi za uhalifu wa kibinadamu zilizofunguliwa mwaka 2021, bado zitaendelea.

9a8a9fbf 2b80 4825 a9c8 e4394f30a0c4 1784923733260
Loading...