Bingwa wa zamani wa ‘Pool Table’ Graeme Dott atupwa jela miaka saba kwa kuwanyanyasa watoto kingono

Raia huyo wa Scotland, ambaye alitwaa ubingwa wa dunia wa ‘Pool Table’ mwaka 2006, amewekwa kwenye orodha ya kudumu ya watuhumiwa wa unyanyasaji wa kingono kwa watoto.
29 Septemba, 2026
Iran yakana kuhusika na njama ya kulipua kituo cha anga cha Uingereza kinachotumiwa na Marekani

Raia watano wa Uingereza wanaoishi London wamekamatwa karibu na kituo cha anga cha RAF Fairford, huku polisi wa kukabiliana na ugaidi wakichunguza njama inayodaiwa kufanyika katika kituo hicho kinachotumiwa na Marekani.
28 Septemba, 2026
Trump akataa pendekezo la Iran la kufungua tena Mlango-bahari wa Hormuz

Rais wa Marekani anasema Iran inataka kufikia makubaliano ya kufungua mlango-bahari huo mara moja kwa sababu “inapata hasara kubwa sana”.
27 Septemba, 2026
Iran yapendekeza makubaliano na Marekani kufungua Mlango-bahari wa Hormuz ndani ya siku saba

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, aliwaelezea waandishi wa habari nje ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu pendekezo hilo, akisema kuwa Tehran pia itaanza upya mazungumzo yaliyokwama na Marekani kuhusu mpango wa nyuklia
26 Septemba, 2026

Korea Kaskazini yasema itaendelea kuzalisha silaha za kinyuklia

Jeshi la Israel lalipua makazi ya mfungwa wa Kipalestina

Wanafunzi warejea mashuleni baada ya vita kumalizika Iran

Ujerumani yagomea wito wa Trump wa kujiondoa ICC

Qatar yataka mfumo wa usalama kati ya nchi za Ghuba na Iran kufuatia mzozo unaoendelae
21 Septemba, 2026
Trump kutolishambulia kundi la Wa-Houthi kwa sasa: Gazeti la NYT
Kwa mujibu wa gazeti la NYT, Mwanamflame wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, alimpigia Trump simu siku ya Alhamisi kwa mara nyingine kutaka Marekani kuchukua hatua za kijeshi, wakati mapigano yalipokuwa yakiongezeka.

20 Septemba, 2026
Italia inapanga kupiga marufuku kufunika uso shuleni na kuweka kikomo kwa wanafunzi wa kigeni
Chini ya hatua hizo zilizopangwa, wazazi wa wanafunzi wa kigeni watalazimika pia kujifunza lugha ya Kiitaliano.

19 Septemba, 2026
Jeshi la Marekani linakadiria gharama ya vita dhidi ya Iran kuwa Dola bilioni 43.6
Vita vya Marekani dhidi ya Iran vinaathiri bei ya mafuta na soko la hisa, na vimesababisha vifo na majeraha kwa wanajeshi wa Marekani, huku gharama zake za kisiasa zikipimwa katika uchaguzi wa katikati ya muhula wa Bunge mwezi Novemba.

19 Septemba, 2026
Trump atia saini mswada wa vikwazo dhidi ya Urusi: China na India zakabiliwa na uwezekano wa ushuru
Trump anatia saini Sheria ya Graham inayopanua vikwazo dhidi ya Urusi na kuidhinisha ushuru wa hadi asilimia 100 kwa wanunuzi wakuu wa mafuta na gesi ya Urusi.

17 Septemba, 2026
Kaka wa Princes Diana ‘amshukia’ Mfalme Charles III kwa kufurahia kifo cha dada yake
Kupitia kitabu chake kipya, Charles Spencer anadai kuwa, Mfalme Charles III, alikuwa ni mtu mwenye furaha, usiku wa ajali iliyochukua uhai wa Diana, ambaye aliwahi kuwa mke wake.

17 Septemba, 2026
Mtu mmoja afa kwa ugonjwa wa Malaria nchini Ujerumani
Mwezi uliopita, wafanyakazi sita wa uwanja wa ndege wa Frankfurt waliugua ugonjwa wa Malaria, huku wawili wakipoteza maisha.

17 Septemba, 2026
Trump: Iran imewasiliana moja kwa moja na Marekani, inataka kufikia makubaliano
Rais Trump amesema Iran imewasiliana moja kwa moja na Marekani ikitaka kufanya mazungumzo ya kufikia makubaliano, huku Marekani na Iran zikiendelea kutofautiana kuhusu Mlango-Bahari wa Hormuz.

16 Septemba, 2026
Marekani yaingia mkataba wa kuvuna mafuta na dhahabu ya Venezuela
Mkataba huo, unasainiwa baada ya serikali ya Marekani kumuondoa madarakani Rais Nicolas Maduro, mwezi Januari mwaka huu.

16 Septemba, 2026
Pakistan yalaani “jaribio la shambulio la droni” karibu na Makkah
Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif, ameunga mkono Saudi Arabia baada ya mifumo yake ya ulinzi wa anga kuizuia droni karibu na mji mtakatifu wa Makkah, huku akitoa wito wa kujizuia kutokana na kuongezeka kwa mvutano katika eneo hilo.

15 Septemba, 2026
Kim Jong Un atangaza kumuunga mkono Putin
Ushirikiano kati ya mataifa hayo, umeendelea kuongezeka tangu mataifa hayo yalipokubaliana kushirikiana, mwezi Juni 2024.



