10 Januari, 2026

Marekani itaamua kampuni gani za mafuta zinaweza kufanya kazi Venezuela, asema Trump

Trump anawakutanisha viongozi kutoka kampuni kuu za mafuta, akiwahakikishia usalama wao wakifanya kazi katika nchi tajiri ya mafuta Amerika Kusini.

b875d9b1eaacb2f559f605b86568cde2f6d37af25180401174038dcc4dffc056

9 Januari, 2026

Wizara ya Ulinzi ya Syria imetangaza kusitishwa kwa mapigano katika vitongoji vya Aleppo

Wizara ya Ulinzi ya Syria imetangaza kusitishwa kwa mapigano katika vitongoji kadhaa vya kaskazini mwa mji wa Aleppo, ikisema kuwa hatua hiyo inalenga kumaliza hali ya kijeshi katika maeneo hayo.

1767922300878 m5qspq 55ceba5d0d5d461aa650225165e544e619480c782c222b73b955e106e6f2f4f6

8 Januari, 2026

Marekani yasitisha msaada kwa serikali ya Somalia kufuatia madai ya wizi wa misaada ya chakula

Serikali ya Trump imeishutumu serikali ya Somalia kwa kuharibu ghala la shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) lililokuwa na misaada ya chakula iliyofadhiliwa na Marekani.

1b0ac13509dff7881f7041a885bd1f41046b8038c86e3565e27e3849f4d5f939

7 Januari, 2026

Mkuu wa Jeshi la Iran atishia kujibu ‘vitisho’ vya Trump na Netanyahu

Maandamano yaliyosababishwa na ugumu wa maisha nchini Iran yanafuatiliwa kwa karibu na jamii ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na viongozi mahasimu wa taifa hilo, Israel na Marekani.

2025 06 23t092850z 2016398049 rc2y7fanc2ta rtrmadp 3 iran nuclear

7 Januari, 2026

Trump amesema Marekani itachukua mafuta ya Venezuela

Rais Donald Trump alimueleze mtangazaji wa kipindi cha MS NOW, Joe Scarborough, kwamba Marekani inapanga “kuchukua mafuta,” kufuatia mashambulizi yaliyofanyika nchini Venezuela na kukamatwa kwa Nicolás Maduro.

bfb761a6037be96e24f2d612270aa29b21c0601609c483520432a95e1b7303db

6 Januari, 2026

Hofu yaongezeka miongoni mwa jamii ya Wasomali baada ya Trump kutuma maafisa 2,000 Minnesota

Mamlaka za serikali kuu zinaongeza uwepo wao katika jimbo la Minnesota huku utekelezaji wa sheria za uhamiaji ukipanuka, kufuatia madai yaliyoenea mtandaoni kuhusu udanganyifu katika vituo vya kulea watoto vinavyoendeshwa na Wasomali.

2026 01 06t005312z 1701515786 rc2aviax9ixs rtrmadp 3 usa trump minnesota

5 Januari, 2026

Trump atishia shambulio la pili Venezuela, aonya kuhusu operesheni nyingine Colombia

Rais wa Marekani Donald Trump amesema operesheni ya kijeshi nchini Colombia “inaonekana kuwa wazo zuri,” akidai kuwa nchi hiyo inaendeshwa na “mtu mgonjwa.”

2026 01 05t015452z 1028816418 rc2ouianp0k9 rtrmadp 3 usa trump

5 Januari, 2026

Dunia imepokea vipi shambulio la Marekani nchini Venezuela?

Rais wa Marekani Donald Trump amesifia operesheni ya nchi yake ya kumteka Rais wa venezuela na mkewe, lakini hatua hii imepokelewa kwa shutuma na tahadhari kutoka jamii ya kimataifa kama ukiukaji mkubwa wa sheria za Kimataifa.

a55e28c63598c616338a03f4e951b036b9751d2c7b986a92b50f509703b8993e

4 Januari, 2026

Mashambulizi ya Marekani nchini Venezuela yaliua takriban watu 40: ripoti

Afisa mkuu wa Venezuela ameliambia gazeti la New York Times kwamba raia na wanajeshi waliuawa wakati wa operesheni ya Marekani iliyomlenga Rais Nicolas Maduro.

9076c228444487ed986a19399393f36755ac290b0606a24e2aeb7dcabe1b1693

4 Januari, 2026

Mwanabondia Anthony Joshua arejea Uingereza baada ya ajali ya gari Nigeria

Bingwa huyo mara mbili wa uzani wa juu alipata majeraha madogo katika ajali hiyo na aliruhusiwa kutoka hospitalini siku ya Jumatano baada ya kushauriwa kujiuguza nyumbani.

bc2a12edf7f64aa722c63c7e08958e2bf783bab9627fa49690c6f20586de8c01
Loading...