Ulimwengu
“Ikiwa vita vitazuka, hakutakuwa na kurudi nyuma hata kwa milimita moja, na Iran itasonga mbele,” alisema kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Rwanda imeishtaki Uingereza kwa kuvunja masharti ya mkataba katika ‘kipengele cha malipo ya kifedha’
Kulingana na shirika la habari la Fars, mtu huyo anatuhumiwa kutoa taarifa za siri kwa shirika la ujasusi la Mossad la nchini Israel.
Afrika
Hatifungani za Sukuk za 2026 kufikia sasa ni zaidi ya dola milioni 580, kiwango kikubwa kikiwa ni cha nchini Benin cha dola milioni 500, kulingana na wataalamu.
Afrika Kusini imetangaza kuwa mjumbe wa Israel Ariel Seidman, ni mtu asiyekaribishwa nchini humo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo siku ya Ijumaa.
Katika tukio hilo, ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania, ilitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, na kukaribishwa na salamu ya maji, maarufu kama ‘Water Salute’.
Michezo
















