Rais Mwinyi Asisitiza Umuhimu wa Kutumia Tafiti Katika Maboresho ya Sekta ya Umma

Rais Mwinyi Asisitiza Umuhimu wa Kutumia Tafiti Katika Maboresho ya Sekta ya Umma.

Newstimehub

Newstimehub

24 Mechi, 2026

587

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza kuwa Kituo cha Tafiti za Kiuchumi, Kijamii na Uchambuzi wa Sera (ZRCP) kina jukumu la kuhamasisha wadau kuhusu umuhimu wa kutumia matokeo ya tafiti katika kutimiza majukumu yao.

Mkutano wa Machi 24, 2026, na uongozi wa ZRCP ulilenga pia kuboresha mifumo ya malipo ya kidijitali katika sekta ya umma, pamoja na kuangalia upya sera, sheria na kanuni kwa lengo la kuongeza uwazi na ufanisi.

CHANZO: Newstimetr