Real Madrid itafanikiwa kupindua meza Ulaya?

Real Madrid ya Hispania itakuwa ina nafasi ya kujiuliza mbele ya Arsenal ya Uingereza, katika ‘Usiku wa Ulaya’, baada ya kubugizwa mabao 3-0 na vijana wa Mikel Arteta kwenye mchezo wao wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
16 Aprili, 2025
Nyota wa Real Madrid Luka Modric ajiunga na Swansea FC kama mmiliki mwenza

Modrić ndiye mchezaji aliyeichezea timu yake ya taifa ya Croatia mara nyingi zaidi, ana umri wa miaka 39, na msimu huu pekee amecheza mechi 45 akiwa na Real Madrid, na kufunga magoli manne.
15 Aprili, 2025
Loading...


