Soka la Kenya Lapoteza Kocha wa Zamani Engin Firat

Engin Firat, aliyewahi kuifundisha timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars, amefariki dunia na kuacha historia katika soka la nchi hiyo.
9 Mechi, 2026
Achraf Hakimi afikishwa mahakamani Ufaransa kwa tuhuma za ubakaji

Mchezaji wa PSG na timu ya taifa ya Morocco anakabiliwa na kesi ya ubakaji inayotokana na tukio la Februari 2023, huku akiendelea kukanusha vikali tuhuma hizo.
24 Februari, 2026
Kiasi cha fedha ambacho mshindi wa AFCON 2025, na timu nyingine zitapokea

Washindi wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 watapata zawadi ya pesa taslimu dola milioni 10, huku mshindi wa fainali atatwaa dola milioni 4, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) lilisema hivi majuzi.
23 Desemba, 2025
Afrika Kusini yaifunga Angola 2-1 katika ushindi wa kwanza ndani ya miaka 10 – AFCON 2025

Lyle Foster aliipatia Afrika Kusini mwanzo wa ushindi kwa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kuchapa 2-1 dhidi ya Angola siku ya Jumatatu.
23 Desemba, 2025

Wenyeji Morocco waichapa Comoro 2-0 na kuanza kufukuzia taji lao la AFCON kwa kishindo

Kombe la Mataifa ya Afrika Afcon, litafanyika kila baada ya miaka minne kuanzia 2028

Kocha wa Zambia Moses Sichone hatoshelezi kanuni za CAF

Morocco ina jukumu kubwa wakati ikibeba matarajio ya uwenyeji AFCON 2025

Wakenya washinda mbio za marathon za wanaume na wanawake mjini Valencia
2 Desemba, 2025
Afcon 2025: Andre Onana hayuko kwenye kikosi cha Cameroon, kocha atimuliwa
Andre Onana, ambaye yuko katika timu ya Trabzonspor kwa mkopo kutoka Manchester United, hakutajwa miongoni mwa makipa wanne katika kikosi cha wachezaji 28.

17 Novemba, 2025
Hakimi, Salah na Osimhen nani mkali wao? CAF yateua watakaoshindania mchezaji bora Afrika
Mshindi atatangazwa Novemba 19 mjini Rabat Morocco, ikiwa ni pamoa na washindi wengine wa vitengo tofauti

17 Novemba, 2025
Nigeria yafungiwa nje ya Kombe la Dunia 2026 kufuatia kushindwa na DRC
JJamhuri ya Kidemokrasia ya Congo iliweka hai matumaini ya kufuzu Kombe la Dunia ilipoilaza Nigeria 4-3 kupitia mikwaju ya penalti baada ya sare ya 1-1 mwishoni mwa muda wa nyongeza na kushinda mechi ya kufuzu nchini Morocco Jumapili.

3 Novemba, 2025
Wanariadha wa Kenya washinda mbio za marathon za New York kwa wanaume na wanawake
Kenya iliwakilisha vyema kwa mbio za Marathon za New York Jumapili, wakati Benson Kipruto alipomaliza kwa muda wa saa mbili dakika nane na sekunde tisa kwa wanaume huku Hellen Obiri akiweka rekodi ya New York kwa wanawake katika muda wa 2:19:51.

28 Oktoba, 2025
Nairobi United ya Kenya hatua ya makundi CAF
Timu ya Kenya ya Nairobi United imeweka historia kwa kufuzu kwa hatua ya makundi ya michuano ya shirikisho CAF barani Afrika. Nairobi United iliwashinda wababe wa Tunisia Etoile Sportive du Sahel kwa penati 7-6.

20 Oktoba, 2025
Liverpool ina matatizo gani na Arne Slot anaweza kutatua mambo?
Wasiwasi umejiri kuhusu meneja wa Liverpool Arne Slot baada ya kufungwa nyumbani na Manchester United, ikiwa wapoteza mechi ya nne mfululizo katika mashindano yote.

20 Oktoba, 2025
Morocco yaitwanga Argentina na kutwaa ubingwa wa Dunia kwa U-20
Yassir Zabiri afunga mara mbili huku Atlas Cubs ikitwaa ushindi wa kihistoria wa 2-0 nchini Chile

17 Oktoba, 2025
Ligi Kuu ya England (EPL) kurindima tena baada ya mapumziko
Ligi Kuu ya England inarejea tena wikiendi hii baada ya mapumziko kwa ajili ya kucheza mechi za kimataifa.

16 Oktoba, 2025
Nini Nigeria ifanye kufuzu Kombe la Dunia 2026?
Kufikia sasa timu tisa kutoka bara la Afrika zimethibitishwa kwa Kombe la Dunia 2026. Cote d’Ivoire na Senegal zimekuwa timu za mwisho kukamilisha idadi hiyo.

12 Oktoba, 2025
Ndege ya timu ya soka ya Nigeria iliyokuwa inaelekea nyumbani yalazimika kutua kwa dharura
Ndege iliyobeba timu ya Nigeria kutoka Afrika Kusini kuelekea Uyo kwa mechi yao ya mwisho ya kufuzu kwa Kombe la Dunia ililazimika kutua kwa dharura nchini Angola siku ya Jumamosi.



