CHAN 2024: Kenya na DRC kumenyana leo uwanja wa Kasarani

Kenya kuonja utamu wa CHAN kwa mara ya kwanza kabisa inapokutana na washindi mara mbili DRC jijini Nairobi
3 Agosti, 2025
WAFCON 2024: Nigeria watawazwa malkia wa soka barani Afrika baada ya kuwashinda wenyeji Morocco

Nigeria imeshinda Morocco 3-2 ili kushinda taji la 10 la WAFCON.
27 Julai, 2025
Hati fungani kwa ajili ya ujenzi wa uwanja Kenya

Ujenzi wa uwanja wa Talanta unatarajiwa kuimarika baada ya hafla ya kupiga kengele rasmi na Rais William Ruto katika Soko la Hisa la Nairobi.
26 Julai, 2025
Hati fungani kwa ajili ya ujenzi wa uwanja Kenya

Ujenzi wa uwanja wa Talanta unatarajiwa kuimarika baada ya hafla ya kupiga kengele rasmi na Rais William Ruto katika Soko la Hisa la Nairobi.
26 Julai, 2025

Fainali ya Klabu bingwa Ulaya nani kuibuka kidedea?

Wadau wa soka duniani waungana baada ya ajali ya gari katika sherehe za ushindi Liverpool

Wasiwasi kuhusu maandalizi ya Kenya AFCON 2027

Fenerbahce ya Uturuki yanyakua taji la pili la EuroLeague kwa ushindi mnono dhidi ya Monaco

Xabi Alonso ameteuliwa kuwa meneja wa Real Madrid kwa mkataba wa miaka 3
24 Mei, 2025
Nyota wa Misri Mohamed Salah amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya England
Mohamed Salah anakuwa mchezaji wa tano kushinda mara mbili baada ya Thierry Henry, Cristiano Ronaldo, Nemanja Vidic na Kevin De Bruyne.

22 Mei, 2025
Luka Modric kuachana na Real Madrid baada ya fainali za Kombe la Dunia kwa upande wa klabu
Mcroatia huyo ameichezea Real Madrid jumla ya mechi 600 toka alipojiunga nao mwaka 2012, akitokea Tottenham ya Uingereza.

22 Mei, 2025
Wachezaji wa Tottenham wakosa medali baada ya ushindi wao wa Ligi ya Europa
Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Aleksander Čeferin alionekana kushangazwa wakati medali zilipoisha kabla wachezaji wote wa Tottenham kupata baada ya ushindi wao wa 1-0 dhidi ya Manchester United.

19 Mei, 2025
Galatasaray yaweka historia kwa kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya Uturuki mara ya 25
Galatasaray sasa wataongeza nyota tano kwenye jezi zao, kila nyota moja inawakilisha mataji matano.

15 Mei, 2025
Osimhen avunja rekodi Uturuki huku Galatasaray ikichukua ubingwa wa kombe la nchi hiyo
Mabao mawili ya mchezaji wa Nigeria Victor Osimhen katika kipindi cha pili yalimpa jumla ya magoli zaidi ya 34 ambayo ndiyo iliyokuwa rekodi iliyowekwa na mchezaji wa zamani wa Galatasaray Mario Jardel katika msimu wa 2000/01.

9 Mei, 2025
Mchezaji wa Misri Salah ashinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka England
Mohamed Salah amepata tuzo hiyo baada ya kufunga mabao 28 na kutoa ‘assists’ 18 kwa timu yake ya Liverpool katika Ligi Kuu ya England msimu huu.

7 Mei, 2025
Inzaghi ajivunia kuzicharaza timu mbili bora Ulaya kabla ya kufika fainali
Katika robo fainali, Inter waliwatupa nje Bayern Munich ya Ujerumani, kabla ya kuwazidi Barcelona kwenye nusu fainali.

27 Aprili, 2025
Mkenya Sabastian Sawe ashinda dhahabu London Marathon huku Kipchoge akimaliza wa 6
Mwanariadha wa Kenya Sabastian Sawe ameshinda mbio za marathon za London kwa wanaume kwa muda wa saa 2 dakika 02 na sekunde 27 siku ya Jumapili, huku mwenzake Eliud Kipchoge akiibuka wa sita.

25 Aprili, 2025
Liverpool ‘kufunga kazi’ Jumapili?
Liverpool imebakisha mechi tano katika Ligi Kuu ya England msimu huu lakini inahitaji alama moja pekee kuchukua ubingwa.

23 Aprili, 2025
Mchezaji wa soka Afrika Kusini afariki kabla ya mechi yao ya ligi
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alipelekwa hospitali kabla ya mechi na mchezo ukasimamisha baada ya kipindi cha kwanza walipopewa taarifa kuwa amefariki.


