3 Novemba, 2025

Wanariadha wa Kenya washinda mbio za marathon za New York kwa wanaume na wanawake

Kenya iliwakilisha vyema kwa mbio za Marathon za New York Jumapili, wakati Benson Kipruto alipomaliza kwa muda wa saa mbili dakika nane na sekunde tisa kwa wanaume huku Hellen Obiri akiweka rekodi ya New York kwa wanawake katika muda wa 2:19:51.

f4328ba8b0f7149896183e8f2ea9ae35de6315ee1978959eff55e16f3ba1a5a8

28 Oktoba, 2025

Nairobi United ya Kenya hatua ya makundi CAF

Timu ya Kenya ya Nairobi United imeweka historia kwa kufuzu kwa hatua ya makundi ya michuano ya shirikisho CAF barani Afrika. Nairobi United iliwashinda wababe wa Tunisia Etoile Sportive du Sahel kwa penati 7-6.

0df3d724093beafe6ac22af16e977b707389e2fe27332e52c234e5db900cffe9

20 Oktoba, 2025

Liverpool ina matatizo gani na Arne Slot anaweza kutatua mambo?

Wasiwasi umejiri kuhusu meneja wa Liverpool Arne Slot baada ya kufungwa nyumbani na Manchester United, ikiwa wapoteza mechi ya nne mfululizo katika mashindano yote.

222b03d82def542ce7149f9cbcd9171540989ec34747a372e62a96731599a7fe

20 Oktoba, 2025

Morocco yaitwanga Argentina na kutwaa ubingwa wa Dunia kwa U-20

Yassir Zabiri afunga mara mbili huku Atlas Cubs ikitwaa ushindi wa kihistoria wa 2-0 nchini Chile

2025 10 20t022501z 1225901045 up1elak06pn9i rtrmadp 3 soccer worldcupu 20 arg mrc report

17 Oktoba, 2025

Ligi Kuu ya England (EPL) kurindima tena baada ya mapumziko

Ligi Kuu ya England inarejea tena wikiendi hii baada ya mapumziko kwa ajili ya kucheza mechi za kimataifa.

2185b9c323a8bda43dfee46c2b7673a6fd72911b89ae19bd64cb54781465da16

16 Oktoba, 2025

Nini Nigeria ifanye kufuzu Kombe la Dunia 2026?

Kufikia sasa timu tisa kutoka bara la Afrika zimethibitishwa kwa Kombe la Dunia 2026. Cote d’Ivoire na Senegal zimekuwa timu za mwisho kukamilisha idadi hiyo.

ee1ccf0bbcc8db66ebe6a3793cc2eb3ea3ceec009f0c0fb42582bbf0b78b69c4

12 Oktoba, 2025

Ndege ya timu ya soka ya Nigeria iliyokuwa inaelekea nyumbani yalazimika kutua kwa dharura

Ndege iliyobeba timu ya Nigeria kutoka Afrika Kusini kuelekea Uyo kwa mechi yao ya mwisho ya kufuzu kwa Kombe la Dunia ililazimika kutua kwa dharura nchini Angola siku ya Jumamosi.

1756549758788 unww8 df630ba440eb5100356367b496b1041adc6d5702ea8ac9a3cdf89255ebc589b9 main

9 Oktoba, 2025

Algeria yafuzu kwa Kombe la Dunia 2026

Algeria imefuzu kwa Kombe la Dunia siku ya Alhamisi, ikiwa ni timu ya nne kutoka Afrika kupata nafasi hiyo kwa mashindano yatakayofanyika Marekani Kaskazini mwakani, baada ya kuwafunga Somalia 3-0.

f410e21517217cd989dcdb4e073c22c8d02a54393bbe53e4b73d5234248653e2

15 Septemba, 2025

Mkenya Peres Jepchirchir ampiku Tigst Assefa wa Ethiopia kupata dhahabu katika mbio za marathon

Mwanariadha wa Kenya Peres Jepchirchir alishinda mbio za marathon za wanawake katika mashindano ya dunia siku ya Jumapili.

2025 09 14t015713z 711090846 up1el9e03va7j rtrmadp 3 athletics world main

7 Septemba, 2025

Omar Artan aweka historia ya kuwa mwamuzi wa kwanza wa Somalia kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA

Waamuzi watatu wakuu wamechaguliwa kutoka Afrika kwa ajili ya mashindano hayo huku Artan akiungana na Jalal Jayed wa Morocco na Youcef Gamouh wa Algeria.

a3a434978f66ed2b3f0527aa32fcf0af351b73d282ef4cfcff69def1589dfcf5
Loading...