Mahakama Eswatini yakataa kesi dhidi ya mpango wa wahamiaji

Eswatini imeendelea na mpango wa kupokea wahamiaji licha ya pingamizi kutoka kwa watetezi wa haki za binadamu.

Newstimehub

Newstimehub

14 Mechi, 2026

489

Mahakama Kuu ya Eswatini imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na wanaharakati wa haki za binadamu waliopinga mpango wa kupokea wahamiaji waliotumwa kutoka Marekani.

Watetezi hao wamekata rufaa dhidi ya uamuzi huo huku wakisema mpango huo unaibua maswali ya haki za binadamu.

Kwa sasa, baadhi ya wahamiaji waliowasili nchini humo bado wanazuiliwa gerezani licha ya kumaliza vifungo walivyotumikia nchini Marekani.

CHANZO: Newstimetr