15 Aprili, 2025

Kongamano la kimataifa laandaa misaada kwa Sudan baada ya miaka 2 ya vita, lakini amani haipatikani

Waliohudhuria ni pamoja na maafisa kutoka mataifa ya Magharibi, taasisi za kimataifa na nchi jirani – lakini hakuna hata mmoja kutoka Sudan. Jeshi la Sudan wala wapiganaji wa RSF hawakualikwa

fab 1 2 1

15 Aprili, 2025

Kenya: Watu 4 wakamatwa wakijaribu kutorosha siafu kupitia uwanja wa ndege

Raia wa Vietnam, Duh Hung na Mkenya Dennis Ng’ang’a walifikishwa mbele ya Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku wa JKIA, baada ya kukamatwa wakiwa na jumla ya siafu 300 waliohifadhiwa kwenye vichupa vidogo 140.

1744709292784 8b2vp ants scaled

15 Aprili, 2025

Afrika Kusini yamteua mjumbe maalum wa Marekani baada ya balozi wake kufukuzwa

Pata habari na uchambuzi zaidi kwa lugha 45 kutoka TRT Global. Zikiangazia siasa, biashara, michezo na mengineyo.

2025 04 14t121128z 454097467 rc2n v3 rtrmadp 3 safrica politics usa scaled

15 Aprili, 2025

Mkuu wa UN asema mauaji ya mamia ya watu Sudan ishara ya kutowajibika kwa jumuiya ya kimataifa

Volker Turk mkuu wa shirika la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa anasema mashambulio katika kambi, na miji Kaskazini mwa Darfur yanazidisha matatizo, na hatari ya kusababisha machafuko kwa misingi ya kikabila

maktaba 20sudan 20zamzam scaled

15 Aprili, 2025

SADC yakanusha madai ya M23 kuwa ilihusika katika operesheni ya kijeshi nchini DRC

Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika inasema vikosi vyake vya kulinda amani havijahusika katika operesheni ya makabiliano ya kijeshi kama inavyodaiwa na kundi la waasi la M23

drc 20aa

15 Aprili, 2025

Jeshi la wanamaji la India lazindua mazoezi ya pamoja na nchi 10 za Afrika

Mazoezi haya yanaratibiwa kwa pamoja na Jeshi la Wanamaji la India na lile la Tanzania na yanalenga kuimarisha ushirikiano wa kikanda.

navy 20india 20africa

15 Aprili, 2025

Watu zaidi ya 40 wauawa katika mashambulio ya usiku kaskazini-kati mwa Nigeria

Jamii iliyoshambuliwa imekuwa ikikabiliwa na matukio ya vurugu katika wiki za hivi karibuni

nigeria 20maktaba 1

15 Aprili, 2025

Afrika Kusini: Serikali yaanzisha upya uchunguzi wa kifo cha Albert Luthuli

Luthuli atakumbukwa kwa kukiongoza chama tawala cha ANC cha nchi hiyo kumaliza utawala wa wazungu wachache mwaka 1994.

luthuli

15 Aprili, 2025

Afrika Kusini yamteua mjumbe maalum wa Marekani baada ya balozi Ebrahim Rasool kufukuzwa

Mcebisi Hubert Jonas ni mwanaharakati mkongwe na mtumishi wa umma wa muda mrefu katika siasa na maendeleo ya Afrika Kusini.

sa 20new 20us 20ambo

15 Aprili, 2025

Hisia mchanganyiko baada ya Tanzania kuorodheshwa Kundi A hatari ya CAF U20

Wenyeji Misri, mabingwa mara tatu wa kundi A, watamenyana na Zambia, Sierra Leone, Afrika Kusini na Tanzania katika kundi gumu.

ngoro
Loading...