3 Februari, 2026

Saif al-Islam Gaddafi, mtota wa aliyekuwa rais wa Libya, ameripotiwa kuuawa

Hakuna maelezo zaidi kuhusu kifo cha Gaddafi hadi sasa.

2026 02 03t194010z 1 lynxmpem1218k rtroptp 3 libya security gaddafi

3 Februari, 2026

Ethiopia yakanusha madai ya Trump kuwa Marekani ilifadhili bwawa lake kubwa

Waziri Mkuu wa Ethiopia amepinga madai ya Rais wa Marekani Donald Trump, akisema kuwa hakuna mikopo wala msaada wa kifedha wa kigeni uliopokelewa kwa ajili ya ujenzi wa bwawa hilo.

442271eb328f3cf35a0c55d18e6c535576195a6d97588ba97eadd92b4d927716

3 Februari, 2026

Urusi yaishutumu Ufaransa kupanga njama za kuwaondoa Traore, Goita, na viongozi wengine wa Afrika

Idara ya Ujasusi ya Urusi (SVR) imedai kuwa utawala wa Ufaransa unajaribu kurejea kisiasa barani Afrika baada ya kupata “hasara”.

b0ce0ca084dcb70236185bc72416254cac69dcdb265c891e051158a118768d98

3 Februari, 2026

Ujumbe wa UN kuwasili DRC kusaidia jitihada za kusitisha mapigano

Uamuzi huo unakuja siku moja baada ya kikao kilichofanyika Doha, kilichohusisha wawakilishi wa kikosi cha waasi cha M23 na wajumbe kutoka DRC.

7e6351c503d92a397fbae39b4d32f9a916ffaf6fd7a3395e738b6a93c18d3519

3 Februari, 2026

Msumbiji yazindua mtambo wa kuchakata madini ya Grafiti

Kwa sasa, Msumbiji ndiyo kinara wa uzalishaji wa madini hayo, ikifuatiwa na Madagascar na Tanzania.

daead559ab74674c84949663e98abb97e3b82604899235136b049af7d379d673

3 Februari, 2026

Ethiopia yakana kufadhiliwa na Marekani ujenzi wa bwawa la umeme

Kulingana na Waziri Mkuu wa Ethiopia, bwawa hilo lilijengwa kwa kutumia fedha za ndani za nchi hiyo.

3b9ae9c981d8c3377b7864570a68f0d30a2a1297336aef1aabe45b542338451c

2 Februari, 2026

Uganda yapinga wito wa seneta wa Marekani wa kuwekewa vikwazo

Mvutano huu inakuja baada ya uchaguzi wa hivi karibuni nchini Uganda, ambapo Rais Yoweri Museveni alishinda muhula wake wa saba wa miaka mitano.

3aa13d8ef89ecccb9612150a2ed5b0ab659d9968ad20de76bb6d7eeb65711fad

2 Februari, 2026

Wanajeshi wa Nigeria wamuua kamanda wa Boko Haram, wapiganaji 10 kaskazini mashariki mwa nchi

Jeshi linasema lilifanya operesheni katika msitu wa Sambisa jimbo la Borno

aa28933f223f456de0a3694165db13d193e62bbe8c9b9317add25999701e3fb9

2 Februari, 2026

Jeshi la Somalia lawaua magaidi wa Al Shabaab wakiwa katika mkutano wa kupanga mashambulizi

Operesheni hiyo ililenga viongozi wa Al Shabaab katika eneo la katikati mwa Shabelle, na baadhi yao waliuawa, anasema waziri wa habari.

15e3743ab704443cd2ad40175d308f00fd9f37d64139ae5293a07b89a7b82f5f

2 Februari, 2026

Safari za ndege za ndani Sudan zimeanza tena kwa mara ya kwanza tangu kuzuka vita mwaka 2023

Ndege za shirika la ndege la Sudan Airways zikitua katika uwanja wa Khartoum kutoka Port Sudan, hatua ya kiishara ya kurejesha usafiri wa anga baada ya takriban miaka mitatu ya mzozo.

2025 10 22t094412z 1 lynxmpel9l0e8 rtroptp 3 sudan politics airport
Loading...