22 Aprili, 2025

Mamia wafariki wakati Angola ikipambana na mlipuko wa kipindupindu

Zaidi ya visa 14,000 vya kipindupindu na vifo 505 vimeripotiwa tangu mlipuko huo uanze Januari 2025.

fab

22 Aprili, 2025

Jeshi la Sudan Kusini lauteka tena mji muhimu kutoka kwa wanamgambo wa White Army

Wasemaji wa jeshi na jeshi la White Army, ambalo chama cha Machar kinakanusha kuunga mkono, walisema mji wa Nasir ulitekwa tena siku ya Jumapili bila mapigano

2024 11 22t170211z 739599175 rc2d ocf rtrmadp 3 southsudan violence scaled

21 Aprili, 2025

Raia wasiopungua 33 wameuawa kwenye mashambulizi ya RSF katika mji wa El-Fasher,jeshi linasema

Wapiganaji wa RSF hawajuzungumzia chochote kuhusu tukio hilo

darfur

21 Aprili, 2025

Raia wasiopungua 33 wameuawa kwenye mashambulizi ya RSF katika mji wa El-Fasher,jeshi linasema

Wapiganaji wa RSF hawajuzungumzia chochote kuhusu tukio hilo

darfur

21 Aprili, 2025

Rais wa Afrika Kusini, Putin wafanya mazungumzo kuhusu vita vya Urusi na Ukraine

Rais Putin alieleza msimamo wake kuhusu umuhimu wa kuondosha chanzo cha vita hivyo na kuhakikisha maslahi ya usalama wa Urusi, serikali ya Urusi imesema.

putin 20ramaphosa

Mpango wa utawala wa Trump kufunga ofisi za ubalozi Afrika – muswada

Marekani inaandaa mpango wa kufunga ofisi za ubalozi nchini Eritrea, Gambia, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Lesotho, na Jamhuri ya Afrika ya Kati, kulingana na mapendekezo.

state

21 Aprili, 2025

Msichana auawa na simba nchini Kenya

Kijana mwingine alishuhudia simba akimshambulia msichana huyo, ambapo alipiga kamsa kuita watu, maafisa wa Mamlaka ya Wanyamapori wa Kenya walifika eneo hilo kwa ajili ya kutoa msaada.

simba 20getty

Papa Francis na ujumbe wake wa amani Afrika

Barani Afrika ametambuliwa kama papa wa ujumbe wa amani ikiwa amezuru nchi tofdauti katika awamu wake wa uongozi.

2023 02 05t070123z 1158687094 rc2 rtrmadp 3 pope africa southsudan scaled
Loading...