24 Aprili, 2025

Rwanda yazindua mikakati mipya ya kuthibiti malaria

Mbinu mpya inahusisha kupima familia yote baada ya mtu mmoja kugundulika kuwa na ugonjwa wa malaria ili kutambua na kutibu wengine ambao wanaweza kuambukizwa lakini bado hawana dalili.

2024 12 11t080201z 2126097288 rc2kr5ayehpp rtrmadp 3 health malaria who scaled

24 Aprili, 2025

Mahakama ya Senegal yazuia ombi la serikali la kufuta sheria ya msamaha kwa ‘wahalifu’

Baraza la Katiba la Senegal lilitangaza sheria mpya ya msamaha kuwa kinyume na katiba, na hivyo kuzua mvutano mpya wa kisiasa kati ya wapinzani.

senegal

24 Aprili, 2025

Serikali ya DRC, M23 wakubali kufanya mazungumzo

Taarifa iliyotolewa katika mazungumzo imethibitisha kwamba pande zote mbili zimekubaliana kusitisha mapigano mara moja.

1743773166939 nhqpo gettyimages 2200503809 20 1 scaled

23 Aprili, 2025

Wabelgiji, Mvietnam,Mkenya waliopatikana na siafu, kuhukumiwa mwezi ujao

Washukiwa hao wanne wamekiri makosa yao wiki iliyopita baada ya mamlaka kuwakamata wakiwa na siafu 5,000.

ants

23 Aprili, 2025

Djibouti yawapa wahamiaji haramu wiki moja kuondoka au wawaondowe kwa lazima

Raia wengi wa kigeni wanapitia nchi hiyo kwa lengo la kuanza safari ya hatari kupitia Bahari ya Shamu kwa kutumia maboti yaliyojaa kupitiliza.

djibouti

23 Aprili, 2025

Wafugaji wenye silaha wawaua watu 11 katika mashambulizi mengine Nigeria

Kumekuwepo na ongezeko la mapigano katika eneo hilo katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita kati ya wakulima na wafugaji

2011 08 11t120000z 506206916 gm1e78b1i8101 rtrmadp 3 nigeria

23 Aprili, 2025

Rais Ruto asaini mikataba 7 na Uchina ya uwekezaji wa zaidi ya dola milioni 823

Sekta ya kibinafsi ya Uchina imekuwa muhimu katika kukuza ukuaji wa uchumi wa Kenya kwa miaka mingi kupitia uwekezaji wao katika sekta mbalimbali za uchumi wetu- Ruto

fab 1 2 3

23 Aprili, 2025

Kenya kuunda kitengo maalum kukabiliana na usafirishaji haramu wa binadamu

Kamati ya Kudumu ya Seneti ya Kenya kuhusu Kazi na Ustawi wa Jamii inaripoti kuwa takriban wafanyakazi 80,000 wa Kenya wako Saudi Arabia na 60,000 katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), wengi wao wakiwa wafanyakazi wa nyumbani

fab 1 2

23 Aprili, 2025

Mataifa matatu ya Sahel kujiondoa kutoka Ecowas ‘inasikitisha’ – rais wa Ghana

Rais John Mahama anatoa wito wa “uimara zaidi na uelewano kwa ajili ya changamoto ngumu zinazowakabili ndugu zetu katika mataifa ya Sahelian.”

fab 202

22 Aprili, 2025

Watu 3 wamefariki, na mamia wengine kuondoka katika makazi yao kutokana na mafuriko Nairobi, Kenya

Mwanamke mmoja, na watoto wake 2 walifariki baada ya kuangukiwa na ukuta wakati wa mvua kubwa

kenya 20floods
Loading...