27 Aprili, 2025

Wafungwa 4,887 wasamehewa katika sherehe za maadhimisho ya 61 ya Muungano, Tanzania

Hata hivyo kwa mujibu wa vigezo vilivyowekwa, hakuna msamaha kwa watuhumiwa wa hujuma ya uchumi wa nchi, ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya watoto wachanga, ugaidi, biashara ya dawa za kulevya na uhalifu wa mtandaoni.

gettyimages 1246353377 scaled

27 Aprili, 2025

Tanzania yaondoa marufuku ya uagizaji bidhaa kutoka Afrika Kusini, Malawi kuruhusu mazungumzo

Maafisa wa Tanzania wanasema kuwa nchi hizo mbili ziliwasiliana kivyake kutafuta suluhu ya mzozo wa kibiashara kwa njia ya mazungumzo.

fab

26 Aprili, 2025

Uganda yatangaza kumalizika mlipuko wa hivi punde wa Ebola

Tangazo la kumalizika kwa mlipuko huo lilifuata siku 42 “bila maambukizi mapya tangu mgonjwa wa mwisho aliyethibitishwa kuruhusiwa kwenda nyumbani.”

uganda 20trial

26 Aprili, 2025

Viongozi wa Afrika watoa wito kwa walinda amani zaidi Somalia kukabiliana na al-Shabab

Viongozi hao waliokutana nchini Uganda walipendekeza kuwa wanajeshi zaidi wanaweza kutumwa kutoka Misri

fab 1

26 Aprili, 2025

DRC na Rwanda zatia saini njia ya kufikia amani katika makubaliano yaliyosimamiwa na Marekani

Pata habari na uchambuzi zaidi kwa lugha 45 kutoka TRT Global. Zikiangazia siasa, biashara, michezo na mengineyo.

fab

25 Aprili, 2025

Burkina Faso yaipa kampuni ya Urusi Nordgold leseni ya uchimbaji dhahabu

Mgodi wa Niou unatarajiwa kupata tani 20.22 ya dhahabu katika kipindi cha zaidi ya miaka minane, maafisa wamesema

burk 20russia

25 Aprili, 2025

Umeme wakatika Sudan baada ya shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani katika kituo kimoja

Shambulizi hilo ni la hivi karibuni la ndege zisizokuwa na rubani katika miundombinu ya umeme kaskazini mwa Sudan ambapo mamlaka zimekuwa zikilaumu wapiganaji wa RSF.

sudan 20umeme

25 Aprili, 2025

Mahakama ya Gabon yamthibitisha kiongozi wa kijeshi Nguema mshindi rasmi wa uchaguzi wa urais

Brice Oligui Nguema alipata 94.85% ya kura ikilinganishwa na mpinzani wake mkuu, Alain-Claude By-Nze, aliyepata 3.11%, kulingana na matokeo rasmi ya mwisho.

gabon 20nguema

25 Aprili, 2025

Shirika la Umoja wa Mataifa limefikia watu milioni 4 Sudan lakini linaonya kuhusu njaa kali

Mratibu wa shughuli za dharura anasema Sudan ni nchi pekee ambayo imethibitika kuwa na njaa kali, huku watu milioni 25 wakiwa hawana chakula

sudan

25 Aprili, 2025

Uchunguzi wa huduma za mauzo ya viungo nchini Kenya waanza

Kamati huru itafanya ukaguzi wa kina wa huduma zote za upandikizaji wa figo katika hospitali ya Mediheal iliyopo kaunti ya Eldoret katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, baada ya hospitali hiyo kushutumiwa kwa kuhusika na mauzo ya figo.

2025 03 27t190116z 267822076 mt1usdaynetnp82692649007 frtpip 3 usa today network
Loading...