Wakuu wa nchi, Maafisa Watendaji Wakuu wakutana Abidjan kuzungumzia uchumi wa bara la Afrika

Kongamano hilo maalumu la kiuchumi, ambalo linaanza Mei 12 hadi 13, 2025, litawaleta pamoja jumla ya washiriki 2,000 kutoka pande mbalimbali za bara la Afrika.
12 Mei, 2025
Traore wa Burkina Faso ataka ushirikiano zaidi na Urusi

Ibrahim Traore anataka ushirikiano zaidi wa kibiashara na teknolojia na amepongeza jukumu la kimataiffa la Urusi licha ya vikwazo vya Magharibi
11 Mei, 2025
Mvua kubwa yaleta uharibu Mogadishu, Somalia

Mvua ya mwishoni mwa juma iliyonyesha kwa takriban saa nane, imeleta mafuriko na uharibifu mkubwa wa miundombinu.
11 Mei, 2025
Viongozi zaidi wajivua uanachama Chadema, kunani?

Kuondoka Chadema kwa viongozi hawa, kunakuja siku kadhaa, za kujiondoa kwa kundi jengine la viongozi wa chama hicho kikongwe cha upinzani Tanzania, hivyo kuibua wasiwasi miongoni mwa wananchi na wadau wa kisiasa kuhusu hatma ya chama hicho
10 Mei, 2025

Kiongozi wa upinzani Uganda, Bobi Wine kuwania urais

Mashambulizi ya anga Darfur yaua 14 kutoka familia moja

Jamhuri ya Afrika ya Kati yamshikilia kiongozi wa waasi Sayo kwa uhalifu wa kivita

Waasi DRC waamuru wachimba migodi kusitisha uchimbaji kufuatia utata wa kodi

Zambia yawasimamisha kazi maafisa wakuu wa serikali kufuatia uwizi wa dawa
9 Mei, 2025
Erastus Edung Ethekon Mwenyekiti mteule wa tume huru ya uchaguzi Kenya ni nani?
Rais wa Kenya, William Ruto, amemteua Erastus Edung Ethekon kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka – IEBC, pamoja na makamishna sita wapya.

9 Mei, 2025
Vita vya Sudan: Mashambulizi zaidi ya ndege zisizo na rubani yaikumba Port Sudan
Mashambulizi hayo mapya yamezua hofu ya uhaba wa mafuta na kuzorota kwa hali mbaya ya kibinadamu.

9 Mei, 2025
Trump anapanga ‘kuwachukua Marekani’ wakimbizi wa Afrika Kusini
Maafisa wa Marekani wanasema wakulima Wazungu wanaodaiwa kuathiriwa na sheria mpya ya unyakuzi wa ardhi ya Afrika Kusini watawasili wiki ijayo.

9 Mei, 2025
Tanzania yalitaka Bunge la Ulaya kuheshimu uhuru, sheria na maadili ya Taifa
Kauli hiyo ya Tanzania imekuja kufuatia mjadala uliofanyika katika Bunge la Ulaya kuhusu masuala ya ndani ya Tanzania.

8 Mei, 2025
Rais wa Kenya ateua makamishna wa tume huru ya uchaguzi
Rais wa Kenya William amemteua Erastus Edung Ethekon kuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi nchini humo.

8 Mei, 2025
Rwanda yatuma maafisa wa polisi Jamhuri ya Afrika ya Kati
Rwanda ilianza oparesheni zake za usaidizi wa amani nchini CAR mwaka 2014, na kwa sasa ina vikosi vinne nchini humo.

8 Mei, 2025
Rais wa Tanzania amewafutia rasmi faini za madeni ya bili za maji raia wake
Baadhi ya raia wa Tanzania wanaodaiwa faini ya bili za maji, wamepata afuweni baada ya rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kuwafutia mzigo huo wadaiwa.

8 Mei, 2025
Wanamgambo wa RSF waanzisha mashambulizi mapya katika maeneo ya mashariki, kusini mwa Sudan
Mashambulizi yamelenga maghala ya kimkakati ya mafuta na kambi za kijeshi nchini Sudan, ikijumuisha maeneo muhimu yanayodhibitiwa na jeshi kama vile Port Sudan na Kosti.

8 Mei, 2025
Kenya yasajili wafungwa katika huduma mpya ya bima ya taifa ya afya
Kuanzia Oktoba 2024, Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii (SHA) umechukua nafasi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambao umekuwepo tangu 1966.

8 Mei, 2025
UAE ‘haitambui’ uamuzi wa Sudan wa kukata uhusiano wa kidiplomasia
UAE inasema serikali inayoambatana na jeshi la Sudan sio serikali halali ya nchi hiyo ya Kiafrika. Hii inakuja siku moja baada ya Sudan kukata uhusiano wa kidiplomasia na kufunga ubalozi wake na ubalozi wake katika jimbo la Ghuba.



